upendo wa dhati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wosia na Shauri la Mwisho: Upendo wa Dhati au Nuksi ya Kifo?

    Tanganyika na barani Afrika kwa ujumla, mizozo ya kifamilia pale mhimili wa nyumba anapoaga dunia imekuwa kama jambo la kawaida na la kuzoeleka. Mara nyingi tunashuhudia ndugu wa damu wakisafisha njia kuelekea mahakamani au hata kurushiana makonde, wakigombania namna ya kugawana mali...
  2. Surya

    JamiiForums Tanzania Hizi hatua za kupenda kila mtu anazipitia ?

    Hizi hatua sijui kama wengi wanazipitia, na pia wapo wanaokwama kwenye hatua moja muda mrefu. i. Just look at a girl. Unampenda manzi fulani lakini husemi, wewe nikumzoom tu. ii. Hug a girl. Nahitaji kukumbatia msichana, hapa kuna wengine walianza wakiwa darasa la sita na saba, watoto wazuri...
  3. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanaamini kwamba mwanaume anapotumia fedha na nguvu nyingi ndiyo anakuwa na upendo wa dhati

    Katika karne hii ambayo wanawake wengi wamepigwa matukio ya kuachwa mpweke ghafla, fumanizi za mara kwa mara, kusalitiwa, kuibiwa, kudhulumiwa, kutapeliwa,kupokonywa mali, kudhalilishwa,kupigwa, kushambuliwa kwa maneno makali sana, kutukanwa, kuingiliwa kinguvu na kutolewa dosari za muonekano...
Back
Top Bottom