FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,163
- 40,850
Kuna nyuzi nililetaga humu miaka ya nyuma nikishauri "Trafiki wafungiwe mashine za EFD", mods wakafuta, labda walihisi ni wazo la kishenzi, haikupita mwaka tukaanza kuona EFD zikitumika kupiga faini badala ya notification za barabarani, nadhani kuna haja ya kuweka viwango elekezi vya elimu vya mtu kuajiriwa juwa mod.Mwaka jana niliandika uzi humu nikishaur ndege za rais zitumike kibiashara kama hazitumiki. Maana magufuli hatumii hizi ndege. Ila moods wakafuta. Waliona sijui ni wazo la kishenzi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia hata hii ya ndege niliileta humu jf, naona amefanyia kazi ushauri
Ndege iliyotulisha nyasi Watanzania na kupokelewa na Lowassa miaka ile inaendeleaje? - JamiiForums