Hizi hapa Diamond karanga

Hizi hapa Diamond karanga

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
348,983
Reaction score
1,252,299
19624696_432463063806798_4061228110530478080_n.jpg
 
Naskia Ubuyu wa Shilawadu ukila unakua mbeya mbeya tuu
naomba kuuliza ukila Diamond karanga unakuwa na genye genye sana?
 
Kilichofanyika hapo ni kampuni iliyoingia ubia na diamond kwa kutumia jina na brand yake kwa hiyo biashara
Naomba kueleweshwa maana nijuavyo mm diamond ilikuwepo kabla ya hyu msanii wenu kuna diamond jubilee kuna diamond trust bank na kuna nymbo pia zina hlo jina ss iweje mtu kuita karanga zke diamond hadi aiingie makubaliano na hyu jamaa yenu? naomba ufafanuzi cna nia ya kubishana!
 
(Kama kweli sio bidhaa ya mondi)
Kupitia diamond, mwenye bidhaa ana uhakika wa kuteka soko haraka compared na mtu ambae hafahamiki ndio anaanza

Mfano unataka kuchukua brand ya Pepsi uanze kuzalisha, hugakua sawa na yule anaanzisha kinywaji ambacho hakijulikani
 
nimeona tangazo la hiyo diamond karanga, ameimbs diamond mwenyewe pamoja na Raynavy(Raymond)
 
Zinapatikana wapi nahitaji kama pakiti mia mbili hv
 
Kilichofanyika hapo ni kampuni iliyoingia ubia na diamond kwa kutumia jina na brand yake kwa hiyo biashara
Huko right huyo jamaa hapo juu.
Una ushahidi mkuu? Maana watanzania kwa kushushana jaman

Naomba kueleweshwa maana nijuavyo mm diamond ilikuwepo kabla ya hyu msanii wenu kuna diamond jubilee kuna diamond trust bank na kuna nymbo pia zina hlo jina ss iweje mtu kuita karanga zke diamond hadi aiingie makubaliano na hyu jamaa yenu? naomba ufafanuzi cna nia ya kubishana!
Hizi Karanga zipo, sokoni kabla diamond hajazizindua hii juzi.

Mimi nishawahi ziona before. So, itakuwa mwenye kampuni kaamua ku boost mauzo ya brand yake kwa kumtumia diamond msanii kuzi present kwa watu sokoni, ili ziweze kununulika kwa urahisi.

Mbinu tu za kibiashara. Nice business strategy
 
Back
Top Bottom