Nasikitika ikiwa uko Jf then unaperuzi thread na unakurupuka ku'respond! Hv 21 century kuna watu wanasoma na kisha hawaelewi! Terrible! Headin' ina question mark! Inauliza! Wewe unanihukumu! Ht hivyo am offer u free apology!umeelimika kiasi cha kutumia JF lakini bado unaamini mambo ya giza???
ndo nyinyi mnaosema radi ni kama likondoo hivi, aisee radi ni umeme, achana na hizo habari za mtaani, nenda google chimba utapata namna radi inavyotokea.