zipompa JF-Expert Member Aug 19, 2014 10,779 23,260 Apr 5, 2017 #3 hahahahaha jamaa anajaribu kupandisha kiwango chetu cha furaha, maana khali ni mbaya tuko 3 bora toka mwisho
hahahahaha jamaa anajaribu kupandisha kiwango chetu cha furaha, maana khali ni mbaya tuko 3 bora toka mwisho
T thatsit JF-Expert Member Mar 12, 2017 1,870 2,915 Apr 5, 2017 #4 Bora ivo ukilegeza mjini utashtukia imooooooo...
maroon7 JF-Expert Member Nov 3, 2010 11,277 15,523 Apr 5, 2017 #5 thatsit said: Bora ivo ukilegeza mjini utashtukia imooooooo... Click to expand... Hahahaaa...we ni mwehu
thatsit said: Bora ivo ukilegeza mjini utashtukia imooooooo... Click to expand... Hahahaaa...we ni mwehu
Pastor Achachanda JF-Expert Member May 4, 2012 3,023 1,315 Apr 5, 2017 Thread starter #8 Haaaaaaaa ndio maana waimba kwaya wakaimba hivi, "Na tuliponyang'anywa ufalme na raha, wewe ukarudisha"
Haaaaaaaa ndio maana waimba kwaya wakaimba hivi, "Na tuliponyang'anywa ufalme na raha, wewe ukarudisha"
M mama kubwa JF-Expert Member Nov 3, 2010 6,006 9,453 Apr 5, 2017 #9 Hii ni stail ya kuuza atakuwa ni mjasiliamali mbunifu.
white hat JF-Expert Member Dec 16, 2016 3,321 2,490 Apr 5, 2017 #10 Naona alikuwa kwenye semina elekezi