Dirisha Dogo: Nawakumbusha, usajili sio fasheni..

Hussein Massanza

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
918
1,994
Watu wa Soka,

Leo nimewakumbuka humu. Bila shaka mko poa!

Dirisha Dogo limeshafunguliwa na timu zote ziko mbio mbio kufanya maboresho kwenye vikosi vyao. Sio jambo baya lakini sio shurti.

Kwa mfano Singida Fountain Gate ni miongoni mwa timu ambazo tulifanya usajili wa kiufundi sana Dirisha kubwa. Ukitazama quality ya wachezaji kwenye timu yetu wamehesheni kweli kweli. Bado kuna wachezaji wengi wazuri ndani ya kikosi hatujawatumia inavyopaswa.

Kwahiyo Singida presha ya usajili dirisha hili dogo sio kubwa sana kwetu. Tutasajili tukipata mapendekezo ya Benchi la Ufundi lakini endapo kunahitajika maboresho, lakini hatutasajili kwa kwenda na trend sababu usajili sio fasheni kwamba lazima uende nayo.

Singida ndio timu yenye kikosi kipana zaidi kwa sasa nchini kwa kuwa na wachezaji zaidi ya 30. Kwahiyo ni kama tuna timu tatu ndani ya klabu moja. Tulijipanga!
 
Kikosi kipana au kikosi chenye Wachezaji wengi?
 
Tumekusikia msemaji wa Yanga ya Mkoani
 
Unaposema usajili wa fashen unamaanisha usajili kama wa Wilson Miso Missonda Onana?
 
Umeshindwa kuishauri timu yako inayookoteza wachezaji na kivunja mikataba kilasiku mwisho ni faini na kufungiwa na FIFA kilasiku??
 
Watu wa Soka,

Leo nimewakumbuka humu. Bila shaka mko poa!

Dirisha Dogo limeshafunguliwa na timu zote ziko mbio mbio kufanya maboresho kwenye vikosi vyao. Sio jambo baya lakini sio shurti.

Kwa mfano Singida Fountain Gate ni miongoni mwa timu ambazo tulifanya usajili wa kiufundi sana Dirisha kubwa. Ukitazama quality ya wachezaji kwenye timu yetu wamehesheni kweli kweli. Bado kuna wachezaji wengi wazuri ndani ya kikosi hatujawatumia inavyopaswa.

Kwahiyo Singida presha ya usajili dirisha hili dogo sio kubwa sana kwetu. Tutasajili tukipata mapendekezo ya Benchi la Ufundi lakini endapo kunahitajika maboresho, lakini hatutasajili kwa kwenda na trend sababu usajili sio fasheni kwamba lazima uende nayo.

Singida ndio timu yenye kikosi kipana zaidi kwa sasa nchini kwa kuwa na wachezaji zaidi ya 30. Kwahiyo ni kama tuna timu tatu ndani ya klabu moja. Tulijipanga!
Mbona Kwa maelezo yako Singida ndo imesajili Kwa fasheni? Wachezaji 30 halafu mnachapika kama kibaka tandale
 
Watu wa Soka,

Leo nimewakumbuka humu. Bila shaka mko poa!

Dirisha Dogo limeshafunguliwa na timu zote ziko mbio mbio kufanya maboresho kwenye vikosi vyao. Sio jambo baya lakini sio shurti.

Kwa mfano Singida Fountain Gate ni miongoni mwa timu ambazo tulifanya usajili wa kiufundi sana Dirisha kubwa. Ukitazama quality ya wachezaji kwenye timu yetu wamehesheni kweli kweli. Bado kuna wachezaji wengi wazuri ndani ya kikosi hatujawatumia inavyopaswa.

Kwahiyo Singida presha ya usajili dirisha hili dogo sio kubwa sana kwetu. Tutasajili tukipata mapendekezo ya Benchi la Ufundi lakini endapo kunahitajika maboresho, lakini hatutasajili kwa kwenda na trend sababu usajili sio fasheni kwamba lazima uende nayo.

Singida ndio timu yenye kikosi kipana zaidi kwa sasa nchini kwa kuwa na wachezaji zaidi ya 30. Kwahiyo ni kama tuna timu tatu ndani ya klabu moja. Tulijipanga!
Singida Fountain wachezaji wengi, hakuna kitu kama wameokotwa okotwa tu.
 
Back
Top Bottom