#COVID19 Hizi dawa za COVID-19 ni siasa au tuna malengo gani? SUA hiki kitu gani?

Mkuu hii dawa ya SUA binafsi nimeishuudia imewasaidia wengi sana mimi mwenye ni kiwa na mafua au kikohozi nikitumia mafua yanakata fasta nadhani labda utakuwa na shida nyingine au uliifungua ukaiacha wazi.
Una digrii au huna? Au una ile aliyowahi kuisema Mrisho Gambo? Digrii ya nguo ya ndani!
Najua unaongeza matangazo ya biashara za kitapeli tu! Chuo kikuu kinawezaje kujiweka kwenye mtego wa aina hii. University maana yake ni Universality. Kweli unaweza ukawauzia watu mchanganyiko ambao vilivyomo ni sawa na recipe ya chakula?
 
Sasa degree ndiyo umeona ndiyo kipimo cha ufahamu? SUA ni chuo cha kilimo na utafiti, ndani yake kuna vitengo mbalimbali mfano wanao tengeneza hizo dawa, ni kile chuo cha mazimbu na wenye hawatengenezi tu hiyo dawa zipo sanitizer spray, liquid soap for handwash, nk. kila kitu kinaanzia kwenye tafiti hizo zote ingekuwa katengeneza mzungu wala usinge sema kitu.
 
Unavyoandika ni wazi wewe ni mmoja wao. Uonavyo wewe, hizo ni kazi za chuo kikuu? Hizo ni kazi za vijana wa VETA na vikundi vya ujasiliamali mitaani. Kama Chuo kikuu hakina ugunduzi na badala yake kinakuwa ni kutengeneza sabuni, sanitizer, kuchemsha mizizi kama unavyoonesha basi ujue ni kiwango duni. Hakuna watafiti hapo!

Vyuo vikuu vikitakiwa kuwa vya kwanza kusema ni aina gani ya variant yuko TZ, vifanye sequencing na ku-study tabia ya kirusi. Tangu lini dunia hii kirusi kikatibiwa? Kinga halisi ni kutengeneza chanjo, halafu mtu anakuja na uchafu ktk chupa ndo iwe chanjo au amegundua kwa mara ya kwanza duniani dawa ya kuuwa kirusi?
 
Unavyoandika ni wazi wewe ni mmoja wao. Uonavyo wewe, hizo ni kazi za chuo kikuu? Hizo ni kazi za vijana wa VETA na vikundi vya ujasiliamali mitaani. Kama Chuo kikuu hakina ugunduzi na badala yake kinakuwa ni kutengeneza sabuni, sanitizer, kuchemsha mizizi kama unavyoonesha basi ujue ni kiwango duni. Hakuna watafiti hapo!

Vyuo vikuu vikitakiwa kuwa vya kwanza kusema ni aina gani ya variant yuko TZ, vifanye sequencing na ku-study tabia ya kirusi. Tangu lini dunia hii kirusi kikatibiwa? Kinga halisi ni kutengeneza chanjo, halafu mtu anakuja na uchafu ktk chupa ndo iwe chanjo au amegundua kwa mara ya kwamnza duniani dawa ya kuuwa kirusi?
Wewe kuna mengi hujui alafu hiyo dawa siyo chanjo, Ni vile viongozi wetu ni kama wewe tunashindwa kutumia vya kwetu, mfano Pale sua miradi mingi inadhaminiwa na wazungu, Tafiti nyingi zinazo fanyanywa pale zinapelekwa ulaya na kule ndiyo wanatengeneza madawa ambazo zinaletwa tena huku kwetu na kuyanunua kwa bei ya juu.
 
Humu kuna watu wana akili za kitoto wakati mwingine unasoma na kuruka baadhi ya posts maana wanaandika ujinga tu.
Kweli kabisa siku hizi JF imevamiwa na wajinga wengi mno. Zamani tulikuwa tunatoa hoja kwa staha Ila sasa hivi wamejaa watoto wa vyuoni na majobless akiamka anashinda humu kwa bundle ya 500 basi ni Matusi tu.

Yani frustration zao za kuwa jobless wamehamishia humu ukishauri kitu wao ni tusi tu . JF imepoteza kabisa Ile ladha yake.

Kwa sasa ukikuta mtu ameandika jambo kwa critical thinking ni ngumu sana utaitwa CCM na majina kibao na utatukaniwa mpaka wazazi.

It's saddening kwakweli.
 
Wewe kuna mengi hujui alafu hiyo dawa siyo chanjo, Ni vile viongozi wetu ni kama wewe tunashindwa kutumia vya kwetu, mfano Pale sua miradi mingi inadhaminiwa na wazungu, Tafiti nyingi zinazo fanyanywa pale zinapelekwa ulaya na kule ndiyo wanatengeneza madawa ambazo zinaletwa tena huku kwetu na kuyanunua kwa bei ya juu.
Let me say STUPID! PUMBAF!
Wewe mtu unavyoandika inaonesha ulistahili kuwa sehemu unajisomea badala ya kupoteza muda kutetea uchafu huu. zinapelekwa Ulaya, ulaya kufanya nini? Tunazungumzia wanachotuuzia kwenye hiyo michupa wewe unaleta hadithi za ulaya na chuo.

Huko ulaya ndo wamewadanganya kwamba wapekee hii ni dawa ya corona? Mpangilio wa maneno wenyewe ni hovyo hovyo tu!
 
Wewe kuna mengi hujui alafu hiyo dawa siyo chanjo, Ni vile viongozi wetu ni kama wewe tunashindwa kutumia vya kwetu, mfano Pale sua miradi mingi inadhaminiwa na wazungu, Tafiti nyingi zinazo fanyanywa pale zinapelekwa ulaya na kule ndiyo wanatengeneza madawa ambazo zinaletwa tena huku kwetu na kuyanunua kwa bei ya juu.
................mfano pale sua miradi mingi inadhaminiwa na wazungu, ......... fool!
 
Nimecheka sana kwa hoja hii halafu masikitiko makubwa yakanijia,mtoa hoja ni msomi,middle class ila anaamini na ametumia dawa eti inayotibu au kuleta nafuu ya Covid 19!je wa huku Lingusenguse itakuaje?nchi ilitakiwa isijitenge na dunia,tukusanye wanasayansi wetu hasa yule aliyetimuliwa na Mwenda...wafungiwe sehemu na kupewa nyenzo zote ili waje na vaccine hii kitu(covid 19 ni sehemu ya fluu )then tuwapelekee idara yetu ya kuhakiki dawa kama zinafaa kwa matumizi ya watanzania na binadamu kwa ujumla then to WHO nao wa apply mind yao,for now ukiona dalili pls isolate yourself,vaa mask,epuka mikusanyiko isiyo ya lazima,nawe mikono na sanitise pia na pls pls STAY AT HOME!!
Huyu munywaji tumsaidie ili asinywe tena! Hawa wanasayansi wetu unaoamini kwamba wangesaidiwa wangefanya la maana, siyo kweli! Mpango wa COVAX haukubagua lakini hakuna mwanasayansi yoyote aliyepeleka andiko na mpango wa kuzalisha vaccine. Mbaya zaidi hakuna aliyewahi kuzalisha vaccine ya binadamu. ni watu wazemebe tu na huenda ndo wako ktk juhudi za kutegeneza upuuzi huu tunaouona mitaani. Si uliwasikia na wale wa UD wakionesha uhuni wao na wakatengeneza na clip ya video?
 
Mtoa post nakusalimu kwa jina la kuhalisha,,,
Kikubwa mkuu ushajua udhaifu wa wataalam wetu usijaribu tena kutumia izo dawa jali afya yako achana na wasomi wetu wa SUA ambao hawapo serious
 
Mpe salamu kwa jina la COVID-19!
 
Bosi na wewe una kipaji cha ujinga! Unategemea nchi hii upate mwanasayansi wa kukupa dawa ya Corona? Hawa wapayukaji ndo wajue sayansi?

Kama hutakufa, ukipona nakuomba uwashitaki mahakamani.
Ndugu yangu, ndugu zangu, nimepona! Cha moto nilikipata. Pamoja na utani niliopewa na wengine, chukueni tahadhari. Hadi sasa nikiona chupa hiyo mwili unasisimuka maana kilichowekwa ndani sasa sina hakika kama kinatokana na viumbe hai. Woga wangu umekuwa ni uwezekanao wa kuharibu viungo vya mwili. Sijui kama figo zangu zimebaki salama.
 
Nimecheka sana kwa hoja hii halafu masikitiko makubwa yakanijia,mtoa hoja ni msomi,middle class ila anaamini na ametumia dawa eti inayotibu au kuleta nafuu ya Covid 19!je wa huku Lingusenguse itakuaje?nchi ilitakiwa isijitenge na dunia,tukusanye wanasayansi wetu hasa yule aliyetimuliwa na Mwenda...wafungiwe sehemu na kupewa nyenzo zote ili waje na vaccine hii kitu(covid 19 ni sehemu ya fluu )then tuwapelekee idara yetu ya kuhakiki dawa kama zinafaa kwa matumizi ya watanzania na binadamu kwa ujumla then to WHO nao wa apply mind yao,for now ukiona dalili pls isolate yourself,vaa mask,epuka mikusanyiko isiyo ya lazima,nawe mikono na sanitise pia na pls pls STAY AT HOME!!
Boss! Hii middle class we acha tu! Hapa ndo tunalishwa mishikaki ya mbwa, tukielekea Dodoma kwa magari yetu ya middle class maana tunaweza kusimama njiani kwa majidai.
Mbona sasa wenzetu wa middle class huko vyuoni wanatuponza? Nimeamua kumuona mwanasheria mmoja tuone kama tunaweza kupata dili la mahakamani.
 
Back
Top Bottom