Hivi umekutwa na kiherehere gani binti wewe kujipendekeza na kujipeleka kwa mwanaume???
sio hayo tu kiufupi jamaa ni mvivu hata kufua nguo zake
asante mwaya tena kaona nijukumu langu haswaa tena anaweza haya akapiga simu kesho uwahi kuna kazi nyingi mweeeh nshachoka mie
na wala hujakosea yani ni mvivu nikimwambia anasema napenda kushindana yani haya akila kutoa vyombo mezani ni shida
Weee nakulia taimingi tu.....siku na saa usiyoijua nasepa
Please my sweet heart naomba usiniach, nitakufa kwa pressure mwenzio. Bora nieleze wapi nakukosea ili nijirekebishe. I love you do much.
Ndiyo matatizo ya mabinti wa .com Ni vyema ukabainisha kati ya majukumu ya me na ke katika maisha. Huyo naona ana future na wewe ila kwa upofu wetu siku hizi utaona anakunyanyasa. Kuna me wanapenda kufanya shughuli za ndani na wengine hawataki, hivyo naona wako hataki. Huyo ni husband material wengine ni unafiki tukuosha vyombo na usafi mnataka mfanye wote?
Sasa kwenye nchi ya ndoa simtazinguana kwenye mambo yanayohitaji kusaidiana
Mama, hizo kazi ndo wajibu wako, nitakuwezesha upate binti wa kukusaidia kaz ndogondogi za ndani. Lakini kumbuka sitaki kuandaliwa chakula na hg, sawa mama.Uache kunifanyisha makazi switie
Mama, hizo kazi ndo wajibu wako, nitakuwezesha upate binti wa kukusaidia kaz ndogondogi za ndani. Lakini kumbuka sitaki kuandaliwa chakula na hg, sawa mama.
Hivi umekutwa na kiherehere gani binti wewe kujipendekeza na kujipeleka kwa mwanaume???
Habari zenu wapendwa,Mimi kuna jambo nahitaji mchango wenu na mawazo yenu kwa ujumla kwanza ningependa nijue hivi ni vitu gani haswa ambavyo mwanaume anaangalia kutoka kwa mpenzi wake ambavo ni kama vigezo vyake vile main
coz mimi nina boyfriend wangu yapata karibia mwaka sasa tupo kwenye mahusiano n we are happy,ila sasa kuna katabia kanajitikeza na kanazid kukomaa jambo ambalo binafsi sifurahii yaan ni hivi huy mpenzi wangu mara nyingi tunaonana weekend ndo mda mda alionao sasa utakuta wiki nzima hakujafanyiwa usafi wala nn japo anasafishaga lakini ile juujuu sasa mimi nikienda nikute ndani kuchafu nguo chafu vyombo vichafu na kupika basi ntajitahidi walau kumwambia tusaidiane ili kazi ziishe haraka labda wakati mi nafanya usafi we basi fua hataki ndo kwanza amekaa kwenye tv anacheki muvi mi nikinwambia hivo anasema napenda mashindano na madai yake eti ananipima kama ntaweza kuolewa na kuwa mama wa familia nkamwambia mimi siko hapa ili unipime au la kwanza kuolewa sio kipaumbele kwangu ikitokea sawa isipotokea basi ila sio niwe mtumwa kisa ndoa............
sasa hapo ndo nauliza jamani hivi ndo jinsi mnavowapima wapenzi wenu kama watafaa kuwa wanandoa??au ni uvivu wake tu unamsumbuaà
Ni hayo tu