Hivo ndo mnavowapima wapenzi wenu??

Hivo ndo mnavowapima wapenzi wenu??

neha mimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
344
Reaction score
152
Habari zenu wapendwa,Mimi kuna jambo nahitaji mchango wenu na mawazo yenu kwa ujumla kwanza ningependa nijue hivi ni vitu gani haswa ambavyo mwanaume anaangalia kutoka kwa mpenzi wake ambavo ni kama vigezo vyake vile main

coz mimi nina boyfriend wangu yapata karibia mwaka sasa tupo kwenye mahusiano n we are happy,ila sasa kuna katabia kanajitikeza na kanazid kukomaa jambo ambalo binafsi sifurahii yaan ni hivi huy mpenzi wangu mara nyingi tunaonana weekend ndo mda mda alionao sasa utakuta wiki nzima hakujafanyiwa usafi wala nn japo anasafishaga lakini ile juujuu sasa mimi nikienda nikute ndani kuchafu nguo chafu vyombo vichafu na kupika basi ntajitahidi walau kumwambia tusaidiane ili kazi ziishe haraka labda wakati mi nafanya usafi we basi fua hataki ndo kwanza amekaa kwenye tv anacheki muvi mi nikinwambia hivo anasema napenda mashindano na madai yake eti ananipima kama ntaweza kuolewa na kuwa mama wa familia nkamwambia mimi siko hapa ili unipime au la kwanza kuolewa sio kipaumbele kwangu ikitokea sawa isipotokea basi ila sio niwe mtumwa kisa ndoa............

sasa hapo ndo nauliza jamani hivi ndo jinsi mnavowapima wapenzi wenu kama watafaa kuwa wanandoa??au ni uvivu wake tu unamsumbuaà
Ni hayo tu
 
...shabby by nature....
 
Wanaume watakujibu ni vigezo gani wanaangalia.Ila kwa hali ya kawaida huyo mpenzi wako ni mchafu kwa hiyo it means usipoonana nae kwa week mbili ataendelea kukaa sehemu chafu?
 
Uandishi gani huu lakini?

Hivi siku hizi hawafundishi tena kanuni na taratibu za uandishi?
 
Wanaume watakujibu ni vigezo gani wanaangalia.Ila kwa hali ya kawaida huyo mpenzi wako ni mchafu kwa hiyo it means usipoonana nae kwa week mbili ataendelea kukaa sehemu chafu?

yaan haya mi nashangaa
 
Hawa ndo wanandoa watarajiwa.. Keep it up youths!
^^
 
pole weewhhh.
Umegeuzwa housegal.
Keshaona ni jukumu lako.
Sasa anza kubadili meeting places zenu na isiwe kwake tena, tuone kama atatoka funza kwa wewe kutokwenda kufanya usafi

asante mwaya tena kaona nijukumu langu haswaa tena anaweza haya akapiga simu kesho uwahi kuna kazi nyingi mweeeh nshachoka mie
 
Yaani unaenda kumfanyia kila kitu nyumbani kwake?? Ushauvaa u-mama ata haujafika??

Kama ni mimi huyo jamaa ndoa iko mbali sana......
 
Men are slovenly by nature period!, they can't even flash their own s**t, lakini nawe,you're not even a live-in girlfriend na unamsafishia mpaka nyumba?!,
 
Huyo bf wako kiaz tu (samahani lakini) Hana cha kukupima wala nini....ameamua tu kukufanya hausigeli......ni mvivu tu by nature na angekuwa anakupima kwa kigezo hicho hata asingekuambia

na wala hujakosea yani ni mvivu nikimwambia anasema napenda kushindana yani haya akila kutoa vyombo mezani ni shida
 
Yaani unaenda kumfanyia kila kitu nyumbani kwake?? Ushauvaa u-mama ata haujafika??

Kama ni mimi huyo jamaa ndoa iko mbali sana......

duuh sasa nifanyeje mkuu au nimemwendekeza sana
 
Back
Top Bottom