Hivo ndo mnavowapima wapenzi wenu??

Hivo ndo mnavowapima wapenzi wenu??

Men are slovenly by nature period!, they can't even flash their own s**t, lakini nawe,you're not even a live-in girlfriend na unamsafishia mpaka nyumba?!,

yaah nafanya usafi utafikiri mke nlikuwa namuonea huruma anavochoka lakini sasa ishakuwa too much
 
  • Thanks
Reactions: kui
Utulipe kwa kuibia majibu.Jamaa si kasema upo kwenye mtihani?Jamaa umeambiwa ni "shabby",yaani mchafu hasa,asilia!
 
...shabby by nature....

ndo nini tena hiyo

Tyta hebu njoo ufafanuzi.Sio kila mtu anajua ngeli ati!!!!
jibu lipo hapa....
....ila sasa kuna katabia kanajitikeza na kanazid kukomaa jambo ambalo binafsi sifurahii yaan ni hivi huy mpenzi wangu mara nyingi tunaonana weekend ndo mda mda alionao sasa utakuta wiki nzima hakujafanyiwa usafi wala nn japo anasafishaga lakini ile juujuu sasa mimi nikienda nikute ndani kuchafu nguo chafu vyombo vichafu na kupika basi ntajitahidi walau kumwambia tusaidiane ili kazi ziishe haraka labda wakati mi nafanya usafi we basi fua hataki ndo kwanza amekaa kwenye tv anacheki muvi....
 
waoaji hatuko hivyo. we endelea kumfanyia kazi jamaa mwisho anaenda kuoa mwingine anayejitambua sio wewe unajirahisisha.
 
Huyo bf wako kiaz tu (samahani lakini) Hana cha kukupima wala nini....ameamua tu kukufanya hausigeli......ni mvivu tu by nature na angekuwa anakupima kwa kigezo hicho hata asingekuambia

Honey, acha kumdanganya mwenzio, ukija kwangu mbona unafanya kila kitu na sijawahi kukusikia ukilalamika!
 
Sasa kama hata nguo zake anaona uvivu kufua nilidhani atakuwa mchafu mchafu hivi[/QUOTE.
hapana nguo zinafuliwa za wiki nzima sema ndo zinarundikwa hizo wiki mpaka niende nisipoenda zitafuliwa kidogo kidogo
 
ni kosa la jinai kwenda kwa boyfriend wako na kumfanyia kazi za ndani acha tabia hiyo unamzoesha na anajua ukija utafanya ndo maana hafanyi kwa ujumla ni mchafu hata kama atakuoa ujiandae kufanya kila kitu bila usaidizi.
huyo hata kunya atakuita ukaflush usirudie tena au badili mazingira ya kukutana
 
unapelekwa getton kufanya usafi kama house girl unajiita mke mtarajiwa ? ww unachezewa tuuuu wala hakuna vigezo sampuli hiyo, jiheshimu na ujitambue uone kama anakutumikisha kama msukule. mtu aweke vitu hovyo hovyo tuuu kisa ww upo wa vipimo ? hapo ni kugegedana tuuu hakuna mmena mke
 
Aiseeee huyo ni mchafu sana my dia na tatizo umeishamzoesha na hata ukiolewa utakuwa punda wake.Cha msingi anza kumbadilisha bado mapema wenzio hatufanyagi vyote hivyo zaidi ya kufua boxer tunazowachafuliaga......lol
 
duuh ntajitahidi nianze kupunguza jamani pamoja na kujituma kote huko bado hana shukrani yani natamani niache ila nashindwa kuacha gafla
 
unapelekwa getton kufanya usafi kama house girl unajiita mke mtarajiwa ? ww unachezewa tuuuu wala hakuna vigezo sampuli hiyo, jiheshimu na ujitambue uone kama anakutumikisha kama msukule. mtu aweke vitu hovyo hovyo tuuu kisa ww upo wa vipimo ? hapo ni kugegedana tuuu hakuna mmena mke

duuuh ukweli mchungu
 
asante mwaya tena kaona nijukumu langu haswaa tena anaweza haya akapiga simu kesho uwahi kuna kazi nyingi mweeeh nshachoka mie

mweeehhh, umemuendekeza.
Majukumu hayakimbiliwi shosti. Ilibidi uwe unamsaidia mara moja moja sana na siyo kumzoesha.
Hapo sasa hata akijakukuoa, ukiumwa hagusi chochote.
Samaki mkunje angali mbichi
 
Back
Top Bottom