trial n error
Member
- Aug 8, 2014
- 27
- 8
Kwani ww huna kwako?Cku nyngne mwambie aje kwako kaa hata mwezi usiende.. sa watu mnaonana wikend tu afu ufike kazi kibao mambo ya nanihii..mtafanya saa ngapi akha!
Huyo bf wako kiaz tu (samahani lakini) Hana cha kukupima wala nini....ameamua tu kukufanya hausigeli......ni mvivu tu by nature na angekuwa anakupima kwa kigezo hicho hata asingekuambia
Sasa kama hata nguo zake anaona uvivu kufua nilidhani atakuwa mchafu mchafu hivi