Hivo ndo mnavowapima wapenzi wenu??

Hivo ndo mnavowapima wapenzi wenu??

Ngoja mwenzako afahamiane naye,atasafisha kila kitu mpaka bedcover ambazo ww hujawah safisha,atainama hadi uvunguni kutoa vumbi n.k, then uanze kuja hapa oooh sijui wapoje? hawabebeki,hawaeleweki kumbe unajijua u mvivu.
 
Haa ndoa umeshaikosa sasa akikuoa Sio ndo utaleta dharau kabisa?
 
Mmmh... pole mamita
Mahusiano hayana kanuni na hatufanani.
Ila mwanaume au mwanamke mvivu ni mzigo.
 
kwa ujumla ni kwamba kila mtu anavigezo vyake anavyotumia kujua kuwa yupi ni mtu sahihi kuingia naye kwenye mahusiano, hivyo ni vigumu kusema kuwa hivyo ndivyo tunavyowapima watu tunaotaka kuishi nao, lakini pia kuna namna nyingi za kujua yupi ni mtu sahihi kwa sababu yaliyopo katika familia siyo kazi, mwingine kigezo cha uwezo wa kufanya kazi kinaweza kisiwe cha kwanza akahitaji mtu mkarimu,msafi, mcheshi, na mpole, mwingine akahitaji mwanamke jembe saa kumi anasaka masufuria ya kuandalia breakfast saa moja nyumba yote imepikwa deki kachemsha na maji ya mme wake, mwingine anahitaji mradi mtu wa jinsia ya kike yupo ndani kama mke mengine yote mungu nisaidie,. kuhusu uchafu wa mtu wako hiyo hulka tu ila kumbuka watu wengi wanajali zaidi miili yao kuliko makazi yao suit safi lakini nyumbani kitanda full kunguni nyumba matanda bui. jaribu kutafuta mbinu mbalimbali zitakazomfanya bf wako awe mshiriki anapenda kushirikiana kazi usitumie lugha zinazoudhi, na usikubali kuwa roboti pia.
 
Ngoja mwenzako afahamiane naye,atasafisha kila kitu mpaka bedcover ambazo ww hujawah safisha,atainama hadi uvunguni kutoa vumbi n.k, then uanze kuja hapa oooh sijui wapoje? hawabebeki,hawaeleweki kumbe unajijua u mvivu.

Kila mwanaume ana vigezo vyake ila hiyo ya usafi sifikirii kama kigezo may be msaada kwa wapendanao
 
huyo ni mchafu tu inaonekana, wiki hata kama ni sku 2 huwez kukaa na vyombo vichaf ndan kama huumwi au huna sababu nyngne yoyote ya msing. Nina wasiwas hata Boxers anakusubiri umfulie
 
Duh wanaume bwana duh..... umeshamkosea huyo badilisha life style jiandae kuachwa mamy.....
 
Hivi umekutwa na kiherehere gani binti wewe kujipendekeza na kujipeleka kwa mwanaume???
 
Huyo mchafu na mvivu asisingizie kukupima
 
na wala hujakosea yani ni mvivu nikimwambia anasema napenda kushindana yani haya akila kutoa vyombo mezani ni shida

Khaaa yan anashindwa hata kutoa vyombo?? Ndani kwake yeye mwenyewe? Usiende then uone atasemaje....
 
kwa ujumla ni kwamba kila mtu anavigezo vyake anavyotumia kujua kuwa yupi ni mtu sahihi kuingia naye kwenye mahusiano, hivyo ni vigumu kusema kuwa hivyo ndivyo tunavyowapima watu tunaotaka kuishi nao, lakini pia kuna namna nyingi za kujua yupi ni mtu sahihi kwa sababu yaliyopo katika familia siyo kazi, mwingine kigezo cha uwezo wa kufanya kazi kinaweza kisiwe cha kwanza akahitaji mtu mkarimu,msafi, mcheshi, na mpole, mwingine akahitaji mwanamke jembe saa kumi anasaka masufuria ya kuandalia breakfast saa moja nyumba yote imepikwa deki kachemsha na maji ya mme wake, mwingine anahitaji mradi mtu wa jinsia ya kike yupo ndani kama mke mengine yote mungu nisaidie,. kuhusu uchafu wa mtu wako hiyo hulka tu ila kumbuka watu wengi wanajali zaidi miili yao kuliko makazi yao suit safi lakini nyumbani kitanda full kunguni nyumba matanda bui. jaribu kutafuta mbinu mbalimbali zitakazomfanya bf wako awe mshiriki anapenda kushirikiana kazi usitumie lugha zinazoudhi, na usikubali kuwa roboti pia.

asante kwa ushaur mzuri ntajitahidi
 
na wala hujakosea yani ni mvivu nikimwambia anasema napenda kushindana yani haya akila kutoa vyombo mezani ni shida

kwani lazima uwe nae chapa lapa sometimes sisi wanaume tunaishi kwa mazoea sana mwanaume anayejitambua awezi fanya hayo madudu coz even uchumba bado umesha mmpa majukumu kibao

na unavyosema yupo bize wiki nzima sasa sijui mda gani anakugegeda ipasavyo.

inabidi mwanaume siku zote uwe smart even room yako ionekane nathifu.
 
Habari zenu wapendwa,Mimi kuna jambo nahitaji mchango wenu na mawazo yenu kwa ujumla kwanza ningependa nijue hivi ni vitu gani haswa ambavyo mwanaume anaangalia kutoka kwa mpenzi wake ambavo ni kama vigezo vyake vile main

coz mimi nina boyfriend wangu yapata karibia mwaka sasa tupo kwenye mahusiano n we are happy,ila sasa kuna katabia kanajitikeza na kanazid kukomaa jambo ambalo binafsi sifurahii yaan ni hivi huy mpenzi wangu mara nyingi tunaonana weekend ndo mda mda alionao sasa utakuta wiki nzima hakujafanyiwa usafi wala nn japo anasafishaga lakini ile juujuu sasa mimi nikienda nikute ndani kuchafu nguo chafu vyombo vichafu na kupika basi ntajitahidi walau kumwambia tusaidiane ili kazi ziishe haraka labda wakati mi nafanya usafi we basi fua hataki ndo kwanza amekaa kwenye tv anacheki muvi mi nikinwambia hivo anasema napenda mashindano na madai yake eti ananipima kama ntaweza kuolewa na kuwa mama wa familia nkamwambia mimi siko hapa ili unipime au la kwanza kuolewa sio kipaumbele kwangu ikitokea sawa isipotokea basi ila sio niwe mtumwa kisa ndoa............

sasa hapo ndo nauliza jamani hivi ndo jinsi mnavowapima wapenzi wenu kama watafaa kuwa wanandoa??au ni uvivu wake tu unamsumbuaà
Ni hayo tu
Ndiyo ni kipimo tosha......................!!!
 
Wewe naweee!!!...yatosha me nilikuwa nakuzuga tuu..am a gud boy next weekend ukija ghetto utashangaa na roho yako, but frankly speaking huwa najisikia vzuri sana na kujiona tofauti ukifua my clothes but anyway nitafua tuu mwenyewe coz I don't want to see you sad....Kutoa vyombo after meal HILO SAHAU kwakweli......Niongelee basi na mazuri ninayo kufanyiaga basii sio kuniponda tuu.
 
Back
Top Bottom