Hivo kwanini whatsap wanablock watumiaji?

Hivo kwanini whatsap wanablock watumiaji?

Ama kweli mtaangamia kwa kukosa maarifa.. Alafu ulivyo andika utadhani hiyo WhatsApp ni ya baba yako..

Mamlaka gani? Kweli hili ni swali la kuuliza mbele ya hadhara? Aibu gani hii.. Biashara za watu hizo... Ohh

Wanayo mamlaka hata ya kukufungia usitumie mali yao mina.

Labda utengeneze ya kwako..

Tuwe na tabia ya kusoma terms and conditions kabla ya kujiunga mitandao au kutumia vitu vya watu.
Hawasomi terms na condtions ndiyo maana wanakuja kulalama hapa. Hajui hiyo juhudi ya kuitengeneza alikuwa ni kwa maslahi fulani? Ukiamua kuitumia lazima ufuate na masharti
 
Ni tatizo.
Hawasomi terms na condtions ndiyo maana wanakuja kulalama hapa. Hajui hiyo juhudi ya kuitengeneza alikuwa ni kwa maslahi fulani? Ukiamua kuitumia lazima ufuate na masharti
 
Kwan lazima kutumia Official whatspp, si maamuzi yangu Nitumie whatspp ipi, hao whatspp official wana mamlaka gani kumpiga mtu BAN kwakutotumia App yao eti
Kwanza Unatumia server za whatsapp kutuma na kupokea message, unatext watu wa whatsapp official bila ruhusa, unaiba picha zao etc kuna makosa mengi tu unafanya ukitumia hizo app.

Pili wewe mwenyewe unajihatarisha, unapotumia app za vichochoroni ambazo ni bure mtu hapati hata shilingi kuna uwezekano vipicha vyenu na video zimejaa kwenye computer ya mtu sasa hivi kafungua social network yake kuna kila pozi yako huko.
 
Hizo unofficial whatsap zinatumika na watu wenye makandokando hasa hasa ya kimchepuko
 
Ama kweli mtaangamia kwa kukosa maarifa.. Alafu ulivyo andika utadhani hiyo WhatsApp ni ya baba yako..
Mamlaka gani? Kweli hili ni swali la kuuliza mbele ya hadhara? Aibu gani hii.. Biashara za watu hizo... Ohh
Wanayo mamlaka hata ya kukufungia usitumie mali yao mina.
Labda utengeneze ya kwako..
Tuwe na tabia ya kusoma terms and conditions kabla ya kujiunga mitandao au kutumia vitu vya watu.
Anaandika utadhani WhatsApp ni mali ya binamu yake.
 
Sio yao, yao wao ni official whatspp, cha ajabu ukihamua kuacha kutumia official whatspp ukahamua kutumia GB whatsapp,, whatspp official wanakupiga BAN from nowhere jaman
Inatakiwa ujue kuwa kuna connection kati ya official WhatsApp na hizo WhatsApp nyingine ndio maana wanaweza kufanya interference...
 
Bwana wee maisha sikuizi ni rahisi tu, wenye ujuzi wapo wengi hawana sehemu za kuapply. Ndio hivyo wanategemea kumodd biashara za watu nao wauze.

Hawata weza kuban.
Haaa....kwahiyo mjanja....
Ngoja upigwe ban ya miaka 200 na hiyo ant ban haitokuwepo
 
Habari wana jamvi! Kwanza habari za mchana.

Thread yangu ni juu ya whatsap kwamba unakuta wanakublock.

Kwa wale wataalamu embu tusaidieni!View attachment 1138129
Wanakufungia kwa sababu hiyo GBwhatsap wamecopy jina lenye hati miliki ya WhatsApp ,that's is why unafungiwa ,soma kwenye policy zao utaona na wameelezi hiyo kitu ,shida ya watanzania wengi wanajiunga kitu bila kusoma policy za kile wanachojiunga.
 
Back
Top Bottom