Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
Yani mtu ameanzisha bidhaa ya Fanta alafu wahuni wanakuja kuiba idea wanaanzisha bidhaa ya Fanta Zero bila ridhaa ya mwenye leseni ya Fanta, ni lazima kiwanda cha hao wahuni kifungwe na bidhaa feki lazima ipigwe ban.Sio yao, yao wao ni official whatspp, cha ajabu ukihamua kuacha kutumia official whatspp ukahamua kutumia GB whatsapp,, whatspp official wanakupiga BAN from nowhere jaman

