Hivi ziwa Victoria limefika hadi Shinyanga?

Mikoa yote ya kanda ya ziwa imepakana na ziwa Viktoria lakini sina hakika na Shinyanga. Je ziwa Viktoria limefika Shinyanga?
angalia ramani, vitu vingine unatafuta kwenye mitandao, ziwa victoria haliingii shinyanga kabisa, sijui kwa mikoa ambayo Jiwe aliiunda labda shinyanga imepewa kipande cha ziwa.. stand to be corrected

Map-of-Tanzania-showing-administrative-regions-Source.png
 
Nasikia kuna sehemu Shinyanga ambayo unaweza kuuona mlima kilimanjaro. Ni sehemu gani hiyo?
Nataka nii-google.
Nasikia ukiuona mlima Kilimanjaro ukiwa Shinyanga unakuwa tajiri wa mifugo, nimeigoogle ila sijaona
 
Hivi internet uliyonayo inakuruhusu kuingia JF tu na sio google?
 
Mikoa yote ya kanda ya ziwa imepakana na ziwa Viktoria lakini sina hakika na Shinyanga. Je ziwa Viktoria limefika Shinyanga?

hukisikia mji kasoro bahari .morogoro unafikilia ni dakika mbili tu umefika baharini
 
Nasikia ukiuona mlima Kilimanjaro ukiwa Shinyanga unakuwa tajiri wa mifugo, nimeigoogle ila sijaona
Haha ... possible myth mkuu.
Nadhani wakaazi wa kale wa eneo hilo lazima waliupa jina huo mlima.
Au walikua na beliefs fulani na hiyo view.
 
Nasikia ukiuona mlima Kilimanjaro ukiwa Shinyanga unakuwa tajiri wa mifugo, nimeigoogle ila sijaona

Kwanini wachagga wasiwe matajiri na ndiyo mlima uko pale pale matokeo yao wengine huangukia kwenye ulevi/mbege 😁 katika mikoa iliyolala ni Kilimanjaro aisee. Ardhi ni wao hawataki kuuza kwa wageni, nyumba ni wao,,,ndiyomaana hapaendelei.
 
Back
Top Bottom