Tabora sio kati ni magharibi ipo na Kigoma na KataviShinyanga sio kanda ya ziwa mkuu ile ni kanda ya kati ipo ukanda mmoja na tabora
duuuhNasikia kuna sehemu Shinyanga ambayo unaweza kuuona mlima kilimanjaro. Ni sehemu gani hiyo?
Nataka nii-google.
Manyara ipo Kanda ya Kati au kaskazini?Tabora sio kati ni magharibi ipo na Kigoma na Katavi
Kati ni Dodoma na Singida
Tinde...Nasikia kuna sehemu Shinyanga ambayo unaweza kuuona mlima kilimanjaro. Ni sehemu gani hiyo?
Nataka nii-google.
Heheee..tinde kule kwenye milima ama?Tinde...
Ipo kaskaziniManyara ipo Kanda ya Kati au kaskazini?
KaskaziniManyara ipo Kanda ya Kati au kaskazini?
Yap kule kwenye milima mpaka Hanang unaiona...Heheee..tinde kule kwenye milima ama?
#MaendeleoHayanaChama
Thanks.Tinde...
Unajua kwamba ndege ina matairi?duuuh
Tanzania Nchi Ngumu Sana HiiNasikia kuna sehemu Shinyanga ambayo unaweza kuuona mlima kilimanjaro. Ni sehemu gani hiyo?
Nataka nii-google.
Hiyo Tinde ni Gio point ya ziwa Victoria ...ukifika Tinde yatazame sana yale Majabali kuna kitu utagunduwa kama uko interest na GIOLOJIAThanks.
Sehemu yoyote ukiwa na internet uka-access satellite feeds..., au ukipanda juu na chombo hivyo kupata bird eye view ya TanzaniaNasikia kuna sehemu Shinyanga ambayo unaweza kuuona mlima kilimanjaro. Ni sehemu gani hiyo?
Nataka nii-google.