Hivi ZBC wanapiga nyimbo za Gospel

Mkuu zanzibar inaendeshwa kidini yaani Muslim. Ukitaka gospel weka upendo tv, tumaini, Mwamba Mwamposa tv n.k
Yani Zanzibar ni Saudia 🇸🇦 ya chini chini.

Kwa nini wasiseme kwenye katiba yao kwamba Zanzibar ni Nchi ya Kiislam, inayofata misingi ya dini hiyo?
 
Niko zangu home week ya tatu hii baada ya kuchukua likizo ,huwa napenda kujipumzisha home na family yangu ijapo kuwa hela ya kununua kisimbuzi imekua nongwa,sasa mara nyingi naangalia izi free channel ZBC ikiwa moja wapo jambo moja nimeliona sijawahi kuona nyimbo za gospel wala ibada hasa siku za jumapili Je kuna shida gani Zbc si channel ya umma sasa kuna sababu gani Kwa wao kuchagua upande wakati serikali haina dini
Serikali yao in dini Mkuu
 
ZBC wana mpaka kipindi cha Kanisani kila Jumapili na ibada inarushwa tena nafikiri saa nzima na wanaenda makanisa mbalimbali yaliyopo Zenji

Ila hiyo ZBC 2 sasa😂 ukiikuta hata bahati mbaya nione hapa nina zawadi yako, hapo ni zaidi ya tawi la wajukuu wa mtume ni mwendo wa 'ilmu' tu mwanzo mwisho😂

Naangalia sana ZBC wanapiga vipindi vya dini ya kikristo.
 
Unapozungumzia zbc ujaweka specif zbc ipi maana kuna zbc 1 na zbc 2 fahamu hilo zbc 1 ndio ya kwanza washa jmapili weka zbc1 utakula gospo weeeh ad uchoke

Usitegemee zbc 2 irushe izo injili pale ni big No
 
Naona mashindano ya Udini yameshika kasi kweli kweli.

NCHI INAELEKEA SIKO.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Hao jamaa wana tabu sana kila kitu wanajifanya wanahoji ili kuleta majadiliano mwisho wa siku wanakimbia mjadala😅😅
 
Yani unataka wimbo wa boni mwaitege upigwe msikitini inawezekana kweli hiyo 🤔🤔
 
Back
Top Bottom