Ni kama cobra squad sjui iliishia wap?Hakika kilikuwa ni kipindi kinachovutia wengi; watoto, vijana na hata wazee. Umaridadi wa bwana John Sibi-Okumu katika kuuliza maswali ulikifanya kipindi na mvuto maradufu...
Sio kweli maswali in live sema wnaunganisha unapomaliza first segment mnapumzika kuendelea na segment nyingine ... Mimeshiriki na tulikuwa chuo cha kwanza from Tanzania kufika quarter finalHawakuwa sharp kivile coz kipindi kilikuwa kinaeditiwa....nenda youtube angalia behind the scene utaona walivyokuwa wanachukua muda kujibu baadhi ya maswali hata yule muuliza maswali kuna muda alikuwa anakosea hadi kuuliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cobra squad series ya Kenya hii, ilitungwa na Alfred Mutua msemaji wa serikali ya Kenya enzi za mwai kibaki ,sasa HV sijui ana cheo ganiNi kama cobra squad sjui iliishia wap??
Its not over until its over...[emoji769]
Hivi yale maswali mlikuwa mnapewa kabla mkatafute majibu yake au ilikuwa ni free style tu ?Sio kweli maswali in live sema wnaunganisha unapomaliza first segment mnapumzika kuendelea na segment nyingine ... Mimeshiriki na tulikuwa chuo cha kwanza from Tanzania kufika quarter final
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea idea ya nani ,copyright iko kwa nani , zain mdhamini tu , nadhani kuna agency ndio ilikua na hy programLakini kipindi kingeweza kuendelezwa licha ya Zain kubadilika. Kingeweza kupewa hata jina jingine ila content ikabaki.
Yes, maswali yalikuwa yanatolewa. Sema yalikuwa mengi sanaaa, kama miezi mi3 kabla ya challenge.Hivi yale maswali mlikuwa mnapewa kabla mkatafute majibu yake au ilikuwa ni free style tu ?
Mfano mmepewa maswali elfu 3 utakumbuka yote? Kama unakumbuka kulikuwa na categories, kwahiyo walikuwa wanagawana kwa category hii itakuwa ya flani, hata anapouliza mnajua hili ni la huyu.Kumbe mlikuwa mnapata muda wa kuyatafutia majibu na kuyapigia desa.