Hivi yule mchungaji Isack Ndodi yupo wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi yule mchungaji Isack Ndodi yupo wapi?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mandown, Apr 20, 2012.

 1. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,567
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  ati nauliza wadau yule mchungaji wa tiba kwa kutumia chakula mch Isack Ndodi kafunga biashara ama kabadilisha staili ya kuhudumu.... manake si muoni kwa runing yangu siku hizi!!!:rolleyez:
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,908
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  Aisee hata mimi simuoni nilkua namsoma EATV jumapili(1330) na StarTv Jummane(2200) sijui kaishia labda kafua.
   
 3. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,806
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 160
  yule sio mchungaji ila ni mganga wa jadi, Uchungaji au Upadri una sifa zake ambazo Dondi hana---yule jamaa ni mjasiliamali anayetumia kivuli cha dini ya Kikristo kufanikisha mambo yake
   
 4. serio

  serio JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,376
  Likes Received: 518
  Trophy Points: 280
  what did you expect? mlimsema sanaaa, mkawafumbua macho wateja wake wakamkimbia..
  what next? kaingia chimbo..
   
 5. t

  testa JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kuna jamaa yupo kimara stopo over ana zahanati yake inaitwa Eden huyu ndo kamfunika Ndodi inaaminika ndie aliyekuwa akimuuzia Ndodi dawa wateja wote wa Ndodi wamekimbilia kwa huyu jamaa
   
 6. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,226
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Ndodi yupo anakariri kitabu chake muhimu 'MAHALi PASIPO NA DAKTARI' huwa nacheka sana jamaa anaporejea kitabu hicho cha zamani!
   
 7. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,567
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  kwahiyo kapotea baada ya waumini kuelewa dawa zake?
   
 8. P

  Patrick Nyemela JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  watu wamemshtukia alikuwa anatumia elimu yake ya sayansi kimu kutibu huku akijifanya mchungaji!!! Huyu ni miongoni mwa wanaochafua sifa za wachungaji.
   
 9. Dr. Chapa Kiuno

  Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 445
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hahahaaa.... ujue kila jambo lina mwanzo na mwisho wake........... amevuna kile kiasi alichotaka sasa kaamua atulie. Beside that, dawa zake zilikuwa ghali sana. ila kuna tetesi kahamishia biashara Nairobi. kuna wadau wanamwona sana kule
   
 10. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  maneno mengi ya nini?
  Season 1 imekwisha.
  Sasa tuanze kusubiri episode za season 2 on HD!
   
 11. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 11,098
  Likes Received: 3,509
  Trophy Points: 280
  kwani babu mwenzangu wa loliondo kapotelea wapi!

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 12. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,567
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  ....yule yupa, kasema kaoteshwa dawanyingine ila mungu bado hajamuambia akauze wapi kunusuru watanzania, kwahiyo turubirie mungu aongee naye kisha atatujuza!
   
 13. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,986
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Patoo 6?
   
 14. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #14
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,536
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Nenda kwenye kliniki yake utamuona.
   
 15. MimiT

  MimiT JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 604
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 80
  Hajawahi kusema kuwa yeye ni mchungaji..Yeye ni muumini tu wa kanisa la kisabato
   
 16. Type

  Type JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Keshapata mawe ashatimkia mbeleeeeee.
   
 17. MTOTO WA KUKU

  MTOTO WA KUKU JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 1,231
  Likes Received: 622
  Trophy Points: 280
  yupo bana maeneo ya mwembechai kafulia mbaya.alikuwa ana ofisi pale itumbi hotel maeneo ya magomeni mwembechai now kafukuzwa kashindwa kulipa pango now yupo tu hana jipya
   
 18. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #18
  May 6, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Anadumu Mungu tuu (If you believe in Him), wengine wote wanapita na kuondoka. . .Kama

  alivyokuja babu wa loliondo, sheikh Yahya, Ndodi, wote kapu moja na watapita tuu
   
 19. Savimbi Jr

  Savimbi Jr JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2015
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 2,024
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  Yupo Live karudi tena,Safi sana.
   
 20. screpa

  screpa JF-Expert Member

  #20
  Oct 6, 2015
  Joined: Sep 10, 2015
  Messages: 3,883
  Likes Received: 4,263
  Trophy Points: 280
  kweli? but atauweza mziki wa Dr. mwaka ?
   
Loading...