Mtemikwila
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 1,388
- 1,058
Enyi wana dasalama wazee wa Kiki,hivi kijana wenu Yule HARMO RAPA yupo huko?? Maana hasikiki kabisa nowadays...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wanatuletea hao mabishoo wavaa 'kk' huku Jukwaa la siasa?Mkuu mbona umeleta jukwaa la siasa huyo Harmorapa ni mwanasiasa?