Kwani unaposema msanii kioo Cha jamii maanake Nini? Kioo hakidanganyi, kinaonyesha reflection au image ya kitu Kama kilivyo.Kwa hiyo jamii isiyokuwa na maadili wasanii wanatakiwa kuendelea kuinyima maadili zaidi kupitia nyimbo zao au wanatakiwa kupenyeza maadili kwenye jamii hiyo kupitia nyimbo zao?
Duh, huyo Mwamba ni yeye na ardhi tu, anaipa vichwa vya kutosha.Yokozuna grade one... hii ukinywa ni kama kufanya walevi wengine waonekane wamekunywa maji.
Ni mirungi mkuu
Sasa kwa nini kuwe na double standard? Kwa nini vioo vingine vifungiwe na vioo vingine viachwe?Kwani unaposema msanii kioo Cha jamii maanake Nini? Kioo hakidanganyi, kinaonyesha reflection au image ya kitu Kama kilivyo.
Yule jamaa ni msukuma au?.
Ila hio chorus katisha sana
Nikisikiliza sina mbavuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni jamii ya nyundo, hutumika kugongea vitu mbalimbali.Kwenye ule wimbo wa baddest 47, unaoimbwa hivi, sijui nikagongee nyagi au nikagongee veve,, sijui nikagongee banana au nikagongee yokozuna, anaejua maana ya kihuni ya yokozuna ni nn atuambie humu..
Bcoz nilijaribu ku-google maana ya yokozuna, lkn maana nlioipata haiendani na wimbo..
Huwezi jua mambo ya veve na yokozuna
Mis uYokozuna grade one... hii ukinywa ni kama kufanya walevi wengine waonekane wamekunywa maji.
Ila pia kuna pombe inatwa Officer's Verve kifupi tunaita Verve sasa wenzangu na mimi tunaitaga VeveNilimuulizaga mtu maana ya veve, akaniambia veve maana yake ni mirungi Afande Fojuman
Mis u
Duh, huyo Mwamba ni yeye na ardhi tu, anaipa vichwa vya kutosha.
Tulia wewe mporipori.. kama unataka kuelimishwa rudi darasani[emoji41] [emoji41] [emoji41]Hii nyimbo inaelimisha nini?Kwa nini haikufungiwa?!