Hivi Yokozuna ni kinywaji?

AlphaMale

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2019
Posts
613
Reaction score
1,425
Kwenye ule wimbo wa baddest 47, unaoimbwa hivi, sijui nikagongee nyagi au nikagongee veve,, sijui nikagongee banana au nikagongee yokozuna, anaejua maana ya kihuni ya yokozuna ni nn atuambie humu..

Bcoz nilijaribu ku-google maana ya yokozuna, lkn maana nlioipata haiendani na wimbo.

====
 
Mabaharia naona mnaitafta muinyweee hahaha
 
Sanaa inareflect jamii husika. Ukiona Sanaa zisizo na maadili zinapendwa basi jua jamii husika Haina maadili. Kwaio sio kosa la msanii.
Kwa hiyo jamii isiyokuwa na maadili wasanii wanatakiwa kuendelea kuinyima maadili zaidi kupitia nyimbo zao au wanatakiwa kupenyeza maadili kwenye jamii hiyo kupitia nyimbo zao?
 
Mixer ya kally 2pu
Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…