Master of Cards
Member
- Dec 29, 2024
- 24
- 25
Nimefuatlilia sana kuhusu stance ya Yanga kugomea mechi. Naona huwa wanaishia na neno HATUCHEZI. Au tunaonewa. Au Dhulma!
Naomba msaada wa kujua hasa madai yao ni nini? Maana wanapingana mpaka na maelekezo ya CAS kama vile wapo Dunia yao;
Je, ni hulka tu ya uana harakati? Lakini wangeweka wazi msingi wa wanachopigania.
Je, ni kuahirishwa mechi trh 8 Mar? Hilo mbona wamejibiwa sana na sababu zipo wazi - vurugu za mabaunsa kuzuia mazoezi ya Simba. Pia ni mamlaka halali ya Bodi ya Ligi.
Je, ni kuukata uongozi wa TFF? Huu ndio utaratibu wa kuondoa uongozi madarakani??? Mbona mechi nyinginezo wanashiriki.
Naomba kujua hasa sababu za Yanga kufikia hadi kupingana na maamuzi ya CAS yaliyowataka kwenda TFF.