Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,256
- 2,862
Huwa yana kwao?kama ndivyo iweje yaje yajazane kwa binadamu hadi kufikia hatua ya kuaibishwa na kudhalilishwa kwa kutimuliwa na watu wa Mungu?je yakishamtoka mtu huwa yanaenda wapi?ama ni kweli kwamba huwa yanajificha kwenye kona za nyumba za ibada na kuwavagaa wengine?na kwanini watu wa Mungu waishie kuwafukuza badala ya kuyakemea,kuyasema na kuyachamba hadi yafe kabisa?