Hivi yale mapepo yakishatimuliwa na watumishi wa Mungu huwa yanakwenda wapi?

Mapepo yanaishi kwa mipaka ya kijiographia kama binadamu. Ndio maana Yesu alipokemea mapepo toka kwa yule kichaa, yalimuomba asiwatoe nje ya kijiji!!! Heri wawaingie nguruwe wa hapo kijijini ili wabaki ndani ya mipaka. Yalikuwa mapepo ya kijiji

Kama pepo ni wa ukoo akikemewa atabaki anazunguka kwenye ukoo wenu akimtafuta mtu mwingine. Inawezekana mapepo ya ulevi na uchawi uliyonayo ni toka babu zako, na wewe utarithisha kwa watoto wako. Ndio maana kuna koo za Malaya, walevi, waganga wa jadi, wafuga majini, wezi, nk.

Ndio maana utasikia wahehe, wanajinyonga ovyo ovyo au tabia za wakurya, waha, wahaya n.k ni mapepo ya kabila, ni hadi yatimuliwe kwa mmoja mmoja.
Basi mimi nina pepo la babu.
 
Back
Top Bottom