Hivi yale mapepo yakishatimuliwa na watumishi wa Mungu huwa yanakwenda wapi?

Mapepo yanaishi kwa mipaka ya kijiographia kama binadamu. Ndio maana Yesu alipokemea mapepo toka kwa yule kichaa, yalimuomba asiwatoe nje ya kijiji!!! Heri wawaingie nguruwe wa hapo kijijini ili wabaki ndani ya mipaka. Yalikuwa mapepo ya kijiji

Kama pepo ni wa ukoo akikemewa atabaki anazunguka kwenye ukoo wenu akimtafuta mtu mwingine. Inawezekana mapepo ya ulevi na uchawi uliyonayo ni toka babu zako, na wewe utarithisha kwa watoto wako. Ndio maana kuna koo za Malaya, walevi, waganga wa jadi, wafuga majini, wezi, nk.

Ndio maana utasikia wahehe, wanajinyonga ovyo ovyo au tabia za wakurya, waha, wahaya n.k ni mapepo ya kabila, ni hadi yatimuliwe kwa mmoja mmoja.
 
hahaha yafe? mk nadhan wanaombea watu ili yatoke jukumu la kufisha kiimani najua unafahamu lipo kwa nani.
Sasa hawaoni wanasogeza tatizo badala ya kumaliza tatizo?suluhisho ni kuyaua kabisa.
 
Ujinga mwingine wa mtu mweusi upo hapa.......majitu yanaibiwa kimazingara ila bado yanang'ang'ana tu na matapeli watumiao bibilia.
 
Huwa yana kwao?kama ndivyo iweje yaje yajazane kwa binadamu hadi kufikia hatua ya kuaibishwa na kudhalilishwa kwa kutimuliwa na watu wa Mungu?je yakishamtoka mtu huwa yanaenda wapi?ama ni kweli kwamba huwa yanajificha kwenye kona za nyumba za ibada na kuwavagaa wengine?na kwanini watu wa Mungu waishie kuwafukuza badala ya kuyakemea,kuyasema na kuyachamba hadi yafe kabisa?
kuyachamba hadi yafe? wazaramo wangeshakufa wote kwa kuchambana!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa yana kwao?kama ndivyo iweje yaje yajazane kwa binadamu hadi kufikia hatua ya kuaibishwa na kudhalilishwa kwa kutimuliwa na watu wa Mungu?je yakishamtoka mtu huwa yanaenda wapi?ama ni kweli kwamba huwa yanajificha kwenye kona za nyumba za ibada na kuwavagaa wengine?na kwanini watu wa Mungu waishie kuwafukuza badala ya kuyakemea,kuyasema na kuyachamba hadi yafe kabisa?
Haliko toka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna sehemu kwenye biblia anasema huwa yanaenda kuzurura yakikosa makazi hurudi Kwenye nyumba yake ya kwanza tena haliji lenyewe huja na wenzake saba wabaya zaidi yake hali ya huyo mtu huwa mbaya zaidi ya ile ya kwanza
 
Back
Top Bottom