BADO MMOJA
JF-Expert Member
- Jul 19, 2012
- 2,195
- 1,352
Ni kweli kabisa Mungu ni wa ishara na maajabu kama huwezi kujua au kutambua signal anazokupa utaingia kwenye majanga bila kujua na ukaangamia na ndiyo maana kuna ndoto waliota Manabii kuwaonya waliokusudiwa kuonywa na kupewa tahadhali na hilo lilikuwa onyo ndoa iahirishwe azikwe mama kwanza kisha mengine yaendeleeMungu ni roho. Huanza rohoni then hujidhihirisha mwilini.
Haimaanish ndoa haitodumu.
Haihitaji reference, Kama familia ama wahusika mnapanga tarehe ya kuadhimisha ibada. Ndio nijuavyo mimiK
Kwa reference gani?
Yupo wapi shetani hapo mkuuShetani na yeye ananguvu.
Wangesogeza ndoa Siku mbili au hata mwezi kama ukumbi kupata ingekuwa shidaHawa wanawake Hawa..
Wewe unaweza hivo, mama yako akiwa ndani ya jeneza?
Ndoa? Ndoa ushuzi gani mbele ya kifo Cha mama mzazi?
Kwamba Mungu aliwaotesha hiyo ndoto wakakataa?Ni kweli kabisa Mungu ni wa ishara na maajabu kama huwezi kujua au kutambua signal anazokupa utaingia kwenye majanga bila kujua na ukaangamia na ndiyo maana kuna ndoto waliota Manabii kuwaonya waliokusudiwa kuonywa na kupewa tahadhali na hilo lilikuwa onyo ndoa iahirishwe azikwe mama kwanza kisha mengine yaendelee
Wasadikika husadiki kile wanchosadiki bila kusadiki hata uwepo wa yote ni bure , Carry on.Kwamba Mungu aliwaotesha hiyo ndoto wakakataa?
Unaishi na Mungu ww?
Akwambia kuwa amewaotesha?
Acha story za kusadikika bro. Mungu huongea na kila mtu kwa njia ya tofauti.
Wakati ndoa inafungwa wengi wanafikiri wanapaswa kushereheka, lkn wakat mwili ukiwa kwenye jeneza, watu hawajui Nini wanatakiwa wafanye badala ya kulia na kufanya maombolezo.Huna mamlaka ya kumuombea laana mtu , Nyie walokole akili zenu ni za hovyo.
Nilipo bold ndiyo kinachokuza mjadala tofauti na hilo hakuna tatizo.Wakati ndoa inafungwa wengi wanafikiri wanapaswa kushereheka, lkn wakat mwili ukiwa kwenye jeneza, watu hawajui Nini wanatakiwa wafanye badala ya kulia na kufanya maombolezo.
Mungu anajua ukuu wa ndoa, na ukuu wa umauti. Kwa waislam wanajua ndoa maana yake, na msiba, baada ya kuzika, ndoa ingefwata.labda tatizo ni kuunganisha
Sent from my itel A44 using JamiiForums mobile app
Kwa Mwenyezi Mungu hayo Ni matukio muhimNilipo bold ndiyo kinachokuza mjadala tofauti na hilo hakuna tatizo.
Ni kutojielewa tu. Hizi ni sherehe mbili tofauti. Kila sherehe kwa namna yake. Huwezi kuunganisha sherehe ya ndoa na msiba. Inawezekana ndoa hii ni ya masharti ya kiushirikina na ilikuwa lazima ifanyike hata kitokee nini.Mbona its OK? Ni ubunifu huo. Dunia ya sasa inahitaji wabunifu kama hao 😂
Ni kutojielewa tu. Hizi ni sherehe mbili tofauti. Kila sherehe kwa namna yake. Huwezi kuunganisha sherehe ya ndoa na msiba. Inawezekana ndoa hii ni ya masharti ya kiushirikina na ilikuwa lazima ifanyike hata kitokee nini.Kama ni mzee miaka 99, mbona ni sherehe tosha?!
Ni upi mku,unge dadavua kidogo.Hawajui mkanganyiko walioutengeneza kiroho happy,
Ukisikia laana....
Ndo iyo na wataipata.
Siwana kulitafuta
Aisee, sikutegemea kuna watu watashikia bango hili suala, kweli binadamu tunatofautianaMkuu ndoa hupangiwa tarehe kifo hakipangiwi tarehe kwani angekufa mmoja wao ndoa ingeendelea tu kwakuwa ratiba yao ilikuwa hivyo? Khantwe mbona mnahalalisha mambo yasiyowezekana hata kwa shetani??? Au ulishaona wapi nyimbo za maombolezo zikaimbwa msibani na za msiba zikaimbwa harusini? Hata waliowafungisha ndoa nina mashaka na hilo kanisa na viongozi wake kwa ujumla.
Babe i miss youAisee, sikutegemea kuna watu watashikia bango hili suala, kweli binadamu tunatofautiana
Ukiona watu wanakomalia jambo ujue halipo sawa na halijawahi kusikika popote duniani Msiba na ndoa vikachanganywa pamoja.Aisee, sikutegemea kuna watu watashikia bango hili suala, kweli binadamu tunatofautiana
Haya Mambo yakuangalia vitu kwa namna tunavyoona n sahihi kutokana na Iman na akili zetu. Kwao wameona ni sahihi n ahakuna jambo baya lolote lililotokea kwann nyie muanze kusema ni ushetani.Mkuu ndoa hupangiwa tarehe kifo hakipangiwi tarehe kwani angekufa mmoja wao ndoa ingeendelea tu kwakuwa ratiba yao ilikuwa hivyo? Khantwe mbona mnahalalisha mambo yasiyowezekana hata kwa shetani??? Au ulishaona wapi nyimbo za maombolezo zikaimbwa msibani na za msiba zikaimbwa harusini? Hata waliowafungisha ndoa nina mashaka na hilo kanisa na viongozi wake kwa ujumla.