Du yani miaka mitano yote hiyo ya nini ? Eneway maamuzi ni yakoNiko na mpenzi for almost five years now na tulipanga mwishoni mwa huu mwaka tufunge ndoa.Shida imetokea baada ya kugundua anachepuka na nilipofatilia nikagundua mmoja kati ya michepuko yake aliupa mimba. Niligoma kusamehe hili la kuletewa mtoto alonikuta ukizingatia tayari ana mtoto ambaye nilimkuta but huyu nilishakubali nitamlea . Shida ni hili la sasa nashindwa kusamehe moyo unauma mno ingawa hiyo mimba ishatolewa ila nikifikiria swala la huyo dada kuwahi kulala kwa mchumba wangu ndo nakufa ganzi kabisa. Nisaidieni jamani nifanyeje kupunguza maumivu natamani kumuacha mtu wangu ila nashindwa maana nampenda mno.
Atakusumbua sana kwenye ndoa huyo. Labda km utaolewa ndoa ya wake wengi. ..Natamani ingekuwa hivyo ila nashindwa maana kila nikikumbuka maumivu yanaanza upya.
So unanishauri nami nichepuke vipi kuhusu maradhi yalozagaa siku hizi.Dawa ya moto ni moto...
Una uhakika na hilo usemalo.Mama we ulifanya usaliti ukasamehewa basi nawe samehe. Vinginevyo uwe mtu ibada ndio inawezeka.
Dhana au taswira halisi ya mapenzi niNiko na mpenzi for almost five years now na tulipanga mwishoni mwa huu mwaka tufunge ndoa.Shida imetokea baada ya kugundua anachepuka na nilipofatilia nikagundua mmoja kati ya michepuko yake aliupa mimba. Niligoma kusamehe hili la kuletewa mtoto alonikuta ukizingatia tayari ana mtoto ambaye nilimkuta but huyu nilishakubali nitamlea . Shida ni hili la sasa nashindwa kusamehe moyo unauma mno ingawa hiyo mimba ishatolewa ila nikifikiria swala la huyo dada kuwahi kulala kwa mchumba wangu ndo nakufa ganzi kabisa. Nisaidieni jamani nifanyeje kupunguza maumivu natamani kumuacha mtu wangu ila nashindwa maana nampenda mno.
Hau husiki hapo..shida ni uko nae vipi huyu mtu wako atakuoa au yani mko paMkoja na akachepuka au...maana naona wanaume asilimia kubwa lazi.a tuwe na wawili watatu hata kama unampenda mmoja na unamchagua kuwa mke wakoNihusike kivipi cause huyo dada alotoa mimba mi mwanzo sikujua kama ni mpenzi wa mtu wangu maana mtu wangu alinambia ni mtu ambaye wako naye kikazi na nilimpigia simu huyu dada kumuuliza baadhi ya mambo kuhusu mtu wangu na ndipo naye akinieleza na yeye ni mpenzi wake na isitoshe ana mimba yake baada ya hapo nilimbana mtu wangu alikataa katakata kuwa huyo dada hana mimba .Na nilipoamua kumtafuta huyu dada tena ili nipate uthibitisho alinijibu kuwa ameamua kutoa mimba maana hawezi zaa na mtu ambaye anaona future haipo na aliniambia kuwa mpenzi wangu atateseka sana maishani mwake skwa kuwa alimlaghai na kumdanganya kuwa sisi tulishaachana hasa hapo mi nahusikaje na hiyo mimba kutolewa?
Kwani wewe umachepuka na wanaume wenzako au ni haohao wanawake? Basi lazima wa kwako nawe achapwe tuUkisema umuache kisa kuchepuka basi utaacha karibu wanaume wote maana wanaume wengi (sio wote) kuwa na ka mchepuko ni kitu cha kawaida...
Kama unampenda na yeye anakupenda funika kombe mwanaharamu apite..
Lakini mimi mwanamke akinisaliti hata kama nampenda kiasi gani biashara inaishia hapo hapo...
Tupelekeeeee ujinga wako huko,huo tunaitaa udhaifu Kwa mwanamme kama wewe,Yani ulioa single mother,fine still kachepukaa namimba kapewa thn kaitoa af bado uko nae,,sasa unataka tukshaur nini wee mwanamme usiyejielewaaa? Mpk sasa bado uko nae?unamoyo axeeeNiko na mpenzi for almost five years now na tulipanga mwishoni mwa huu mwaka tufunge ndoa.Shida imetokea baada ya kugundua anachepuka na nilipofatilia nikagundua mmoja kati ya michepuko yake aliupa mimba. Niligoma kusamehe hili la kuletewa mtoto alonikuta ukizingatia tayari ana mtoto ambaye nilimkuta but huyu nilishakubali nitamlea . Shida ni hili la sasa nashindwa kusamehe moyo unauma mno ingawa hiyo mimba ishatolewa ila nikifikiria swala la huyo dada kuwahi kulala kwa mchumba wangu ndo nakufa ganzi kabisa. Nisaidieni jamani nifanyeje kupunguza maumivu natamani kumuacha mtu wangu ila nashindwa maana nampenda mno.