mysara2011
Member
- Sep 28, 2017
- 69
- 84
Upako uliojawa sio wa nchi hii, big upPole sana!
Ila huo mstari wa mwisho ndo unabeba dhana ya mapenzi! Upendo hauhesabu mabaya, upendo huvumilia na upendo hauna chuki wala kinyongo!
Kusamehe kupo ingawa kiukweli ni ngumu sana kusahau! Ni mtu wako unampenda msamehe muanze upya, ndugu yangu wanaume ni hawa hawa hakuna alobora kuliko wako!!
Ahsante kwa ushauri ndugu yanguPole sana!
Ila huo mstari wa mwisho ndo unabeba dhana ya mapenzi! Upendo hauhesabu mabaya, upendo huvumilia na upendo hauna chuki wala kinyongo!
Kusamehe kupo ingawa kiukweli ni ngumu sana kusahau! Ni mtu wako unampenda msamehe muanze upya, ndugu yangu wanaume ni hawa hawa hakuna alobora kuliko wako!!
Barikiwa piaUpako uliojawa sio wa nchi hii, big up
Si unaolewa wewe? Chagua unalo ona ni jema kwakoNiko na mpenzi for almost five years now na tulipanga mwishoni mwa huu mwaka tufunge ndoa.Shida imetokea baada ya kugundua anachepuka na nilipofatilia nikagundua mmoja kati ya michepuko yake aliupa mimba. Niligoma kusamehe hili la kuletewa mtoto alonikuta ukizingatia tayari ana mtoto ambaye nilimkuta but huyu nilishakubali nitamlea . Shida ni hili la sasa nashindwa kusamehe moyo unauma mno ingawa hiyo mimba ishatolewa ila nikifikiria swala la huyo dada kuwahi kulala kwa mchumba wangu ndo nakufa ganzi kabisa. Nisaidieni jamani nifanyeje kupunguza maumivu natamani kumuacha mtu wangu ila nashindwa maana nampenda mno.
Nihusike kivipi cause huyo dada alotoa mimba mi mwanzo sikujua kama ni mpenzi wa mtu wangu maana mtu wangu alinambia ni mtu ambaye wako naye kikazi na nilimpigia simu huyu dada kumuuliza baadhi ya mambo kuhusu mtu wangu na ndipo naye akinieleza na yeye ni mpenzi wake na isitoshe ana mimba yake baada ya hapo nilimbana mtu wangu alikataa katakata kuwa huyo dada hana mimba .Na nilipoamua kumtafuta huyu dada tena ili nipate uthibitisho alinijibu kuwa ameamua kutoa mimba maana hawezi zaa na mtu ambaye anaona future haipo na aliniambia kuwa mpenzi wangu atateseka sana maishani mwake skwa kuwa alimlaghai na kumdanganya kuwa sisi tulishaachana hasa hapo mi nahusikaje na hiyo mimba kutolewa?Ndivyo ilivyo hata ukiingia ktk maisha ya ndoa. Kuna kosa moja kubwa sana ambalo watu wengi hulifanya hasa ujanani wakati wa kutaka kuingia viapo vya ndoa na kosa lenyewe ni kutokumhusisha Mungu ktk process nzima ya tukio la kuoana.
Ndoa nyingi zinazohusishwa na Mungu tangu wakati marafiki, uchumba na kuoana zina nafasi kubwa sana ya kudumu ukilinganisha na zile za kukutana tu kwenye starehe huko mkaamua kuchukuana na kufanya igizo kuuuubwa la kuaminisha watu kwamba mnaoana
Ni vema sana kujifunza kusanehe kwani kisirani, hasira, ugomvi na visasi kamwe havijengi
Kama umehusika kwa namna yyt ile ktk utoaji mimba wa huyo anayechepuka na boyfriend wako bas una kazi ya kufanya hapo ili kuhakikisha damu ya kiumbe kilichotolewa inakuacha salama
Kuondokana na hiyo hali inayokupata kuna njia nyingi ingawa nzuri zaidi ni kwa ww kujiweka jirani na mambo ya imani kwa aidha kusoma sana maandiko ya Mungu mara kwa mara automatically pumzi iliyokujaa kifuani itatoka
Jifunze kuasamehe na kusahau,,kikukwa akuheshim akupende na akuthamini hiyo kuchepuka sio issue kwa wanaume tena wakishaoa wengi wao ndo huwa wanazidisha idadi ya mchepuko hutompata ambae yuko perfect dearNiko na mpenzi for almost five years now na tulipanga mwishoni mwa huu mwaka tufunge ndoa.Shida imetokea baada ya kugundua anachepuka na nilipofatilia nikagundua mmoja kati ya michepuko yake aliupa mimba. Niligoma kusamehe hili la kuletewa mtoto alonikuta ukizingatia tayari ana mtoto ambaye nilimkuta but huyu nilishakubali nitamlea . Shida ni hili la sasa nashindwa kusamehe moyo unauma mno ingawa hiyo mimba ishatolewa ila nikifikiria swala la huyo dada kuwahi kulala kwa mchumba wangu ndo nakufa ganzi kabisa. Nisaidieni jamani nifanyeje kupunguza maumivu natamani kumuacha mtu wangu ila nashindwa maana nampenda mno.
Natamani ingekuwa hivyo ila nashindwa maana kila nikikumbuka maumivu yanaanza upya.Sasa hapo mbona umeshamsamehe maana kama huwezi kuacha umekubaliana na hali
Natamani ingekuwa hivyo ila nashindwa maana kila nikikumbuka maumivu yanaanza upya.
Kitu kingine jifunze wala usirudie tena kumtafuta mwanamke ambaye unajua ni mchepuko wa mwanaume wako,,michepuko hainaga akili sawasawa dear atakwambia Maneno hadi ya uongo maana hakuna mchepuko unaopenda kuwa mchepuko so atakuumiza moyo makusudi ili umuache mwanaume amchukue yeye,,deal na mumeo mamaNihusike kivipi cause huyo dada alotoa mimba mi mwanzo sikujua kama ni mpenzi wa mtu wangu maana mtu wangu alinambia ni mtu ambaye wako naye kikazi na nilimpigia simu huyu dada kumuuliza baadhi ya mambo kuhusu mtu wangu na ndipo naye akinieleza na yeye ni mpenzi wake na isitoshe ana mimba yake baada ya hapo nilimbana mtu wangu alikataa katakata kuwa huyo dada hana mimba .Na nilipoamua kumtafuta huyu dada tena ili nipate uthibitisho alinijibu kuwa ameamua kutoa mimba maana hawezi zaa na mtu ambaye anaona future haipo na aliniambia kuwa mpenzi wangu atateseka sana maishani mwake skwa kuwa alimlaghai na kumdanganya kuwa sisi tulishaachana hasa hapo mi nahusikaje na hiyo mimba kutolewa?