Mkuu historia uliyoitoa hapa haitakiwi kufundishwa hapa nchini hata duniani kote.Wazungu walishafuta hayo mnayoyaita Makabila, ni lazima uelewe Kabila ni neno la dharau na maana yake ni mtu ambaye hajatastaarabika bado, yaani hajaweza kujenga Taifa, na ndiyo maana neno Kabila hutumika Afrika Kusini kwa Sahara, native Americans, aborigines hao ndiyo Wazungu hutumia neno Kabila lkn wengine wote walishafuta!
Isitoshe Tanzania haina Makabila 120 kama mnavyoanini na hayo yote unayoyaita Makabila Tanzania yalianzishwa na Wazungu/ Waarabu kabla ya Wageni kuja kwa mfano kulikuwa hakuna Wanyamwezi, Wahaya, Wagogo, Wachaga n.k. kama tuwajuavyo leo hii!
Hivyo neno Kabila ni neno la dharau kwa Mwafrika kama vile nigger tu!
Neno "tribes" ni la kiingereza..... Wazungu wa London ni tofauti na WA Wales japo wote wanajiita waingereza. kuna wezi "thieves".....kuna wanga "wizards"...wanabaguana huko katalunya, wanapigana risasi hovyo huko USA majuzi mtu mzima Steve kaua makumi ya raia bila sababuMwenye uelewa kutoka history anieleweshe kama wazungu wana makabila kama Tanzania tulivyo na makabila 120 or so! Na kama siyo, kwa nini hii imetokea Africa na siyo Ulaya/ Marekani/ Asia???
Mimi ni mkatoliki ninayeijuwa vizuri system ya kanisa, danganya wapumbavu wenzanko hatuna padre mjinga kama wewe.
Kwanza kwenye mfumo wa kanisa katoliki maelezo uliyoyatowa hapo utachekwa huwezi kwenda kuinjilisha huko kenge wewe,
Kwanza ulipata upadrisho lini? Na uko chini ya jimbo gani? Na je unahudumu shirika gani?
Kuna Uzi uliuleta hapa kuwa una miaka 26!
Umesomea upadri kwa miezi saba? Fantastic!Hapo kwenye miaka 7 ni miezi saba....
Nimechanganya na miaka nilohudumu pale Parokia ya Itigi Singida
Kwani hazikuwa na tawala zilizo kamili kabla ya kupokwa tawala zao?Lakini hizo ni kama nchi tofauti tofauti zikaungana ndio maana inaitwa UK "United Kingdom" fikiria kama Tz kila mkoa unakuta kuna makabila ambayo ni wenyeji wa hiyo mikoa mfano: mbeya kuna wanyakyusa na wasafwa, Kilimanjaro kuna wapare na wachagga etc
Wewe ndo mwongo, leta unacho kijua.Acha uongo wewe...
Usilazimishe kujibu swali mradi uonekane na wewe unajua, ili hali unatema pumba tu.
Kama hujui kitu kwa kimya.
Tusije tukakutemea makohozi kwa uongo wako bure!!!!
Jimbo la Ngokolo Shinyanga? Inaonekana unaupenda ukatoliki, nakuombea kwa Mwenyezi akuongoze kwenye tumaini la kweli ambalo unalitamani bila kujitambua.Nenda Parokia ya Itigi Singida, ukikutana na mtu yeyote muulize hivi:
"Unamfahamu Padri Mcharo"
Ukitoka hapo nenda Parokia ya Kipalapala (Tabora), then kamalizie Parokia ya Jimbo la Ngokolo Shinyanga.
Utapata Habari zangu....
Umesomea upadri kwa miezi saba? Fantastic!
ww kweli ni padri? padri unye hadharani? asalaleeee kumbe tutapeana mikono jehanamu [emoji91]Nimeishi Amsterdam (Uholanzi) miaka 7 wakati nachukua degree yangu ya Theology.
Nimepata Upadri nikaenda kuishi Cyprus miezi 3, Catalonia mwezi mmoja, Turin Italy mwaka mzima..
Sijawahi kusikia wala kuona makabila Ulaya...
Ukinipa mfano halisi nakunya hapa mbele ya duka, sokoni Kariakoo
Na je? Kunatofauti ya lafudhi katuka kuongea? Mfano kwa Tz anayetoka mkoa, Kilimanjaro akiongea kiswahili unajua. Hivyo hivyo Tanga, Mwanza na mikoa mengine wana lugha zao lakini wote tunaunganishwa na kiswahili ila tunapoongea tunafamaniana tulipotoka kutokana na tofauti ya lafudhi. Vipi kwa hao jamaa nao wanatofauti ya lafudhi ktk lugha yao mama ya KIINGLISHI?Lakini hizo ni kama nchi tofauti tofauti zikaungana ndio maana inaitwa UK "United Kingdom" fikiria kama Tz kila mkoa unakuta kuna makabila ambayo ni wenyeji wa hiyo mikoa mfano: mbeya kuna wanyakyusa na wasafwa, Kilimanjaro kuna wapare na wachagga etc
Hivi unajua degree zinavyopatikana wewe achilia mbali hiyo ya theology? Halafu kwa taarifa yako mapadre hawasomi theology pekee.Miezi 7 Amsterdam, 3 Cyprus, Turin mwaka mmoja, Rosario sikumbuki miezi mingapi...
Kifupi nimezunguka zaidi ya nchi 8 mpaka namaliza Degree yangu...
Mshahara ni 236 billion tu kutoka billion 401Mpaka December mwaka huu itafika 500Billion sasa sijui ata hiyo mishahara italipwaje....[HASHTAG]#Happy[/HASHTAG] Birthday My President of all the Time Hon Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete
Acha uongo wewe...
Usilazimishe kujibu swali mradi uonekane na wewe unajua, ili hali unatema pumba tu.
Kama hujui kitu kwa kimya.
Tusije tukakutemea makohozi kwa uongo wako bure!!!!
Kuna jamaa alinambia hicho kitu hakuna. Ukabila ulishapotea miaka mingi kutokana na muingiliano wa watu kutoka jamii tofauti. Ila kuna nyumba za kuhidhi mambo ya kale(museum), ndio wamehidhi tamaduni za makabila yote huko na historia zao.Mwenye uelewa kutoka history anieleweshe kama wazungu wana makabila kama Tanzania tulivyo na makabila 120 or so! Na kama siyo, kwa nini hii imetokea Africa na siyo Ulaya/ Marekani/ Asia???
Halafu kwa taarifa yako mapadre hawasomi theology pekee.
We jamaa umeongea kitu cha msingi kimtindo..! Ila ngoja nifatilie maana makabila mengi tunayoyajua hapa Tanzania ukiyafatilia asili yake unakuta sio watanzania. Hapa walihamia tu.Wazungu walishafuta hayo mnayoyaita Makabila, ni lazima uelewe Kabila ni neno la dharau na maana yake ni mtu ambaye hajatastaarabika bado, yaani hajaweza kujenga Taifa, na ndiyo maana neno Kabila hutumika Afrika Kusini kwa Sahara, native Americans, aborigines hao ndiyo Wazungu hutumia neno Kabila lkn wengine wote walishafuta!
Isitoshe Tanzania haina Makabila 120 kama mnavyoanini na hayo yote unayoyaita Makabila Tanzania yalianzishwa na Wazungu/ Waarabu kabla ya Wageni kuja kwa mfano kulikuwa hakuna Wanyamwezi, Wahaya, Wagogo, Wachaga n.k. kama tuwajuavyo leo hii!
Hivyo neno Kabila ni neno la dharau kwa Mwafrika kama vile nigger tu!