Mwenye uelewa kutoka history anieleweshe kama wazungu wana makabila kama Tanzania tulivyo na makabila 120 or so! Na kama siyo, kwa nini hii imetokea Africa na siyo Ulaya/ Marekani/ Asia???
Mkuuu, ulaya makabila yalikuwepo, Ila overtime yaliendelea kupungua nguvu kutokana na utaifa...Mwenye uelewa kutoka history anieleweshe kama wazungu wana makabila kama Tanzania tulivyo na makabila 120 or so! Na kama siyo, kwa nini hii imetokea Africa na siyo Ulaya/ Marekani/ Asia???
Hufai kuwa mwlm, mweleweshewanayo bwana hivi unaishi duniani au ulimwenguni?
Ume 'bluff' tu ...hujajibu swali bado..Hakuna Taifa lisilo na Makabila! Isipokuwa Makabila hupotea kwa Kuoleana na Kujichanganya na makabila mengine!
Kuwa na Makabila ishara ya Ukale na ushahidi kuwa bado jamii hizo hazijajichanganya na jumuia ya watu wengine na kuathiriwa au kupoteza uasili wao.
Ndio maana unakuta kuna matangazo au habri tunasikia kuna makabila yapo hatarini kupotea kwa sababu kama hizo hapo juu.
Amerika ya Kaskazini kuna Jamii ya watu mpaka leo ina makabila yao(Natives America) Comache,Navajo ambao mpaka leo wanalinda koo zao na Mila zao wakitawala kwa mila na desturi zao.
Ulaya pia waliwahi kuwa na makabila hasa karne za nyuma kidogo hasa wakati wa Utawala wa dora ya Kirumi - Belgae,Cantiaci,Catuvellauni,Dobunni,Dumnonii,durotriges,Regnenses,Textoverdi na n.k.
Chanzo:- Mitandaoni.
Hakuna Taifa lisilo na Makabila! Isipokuwa Makabila hupotea kwa Kuoleana na Kujichanganya na makabila mengine!
Kuwa na Makabila ishara ya Ukale na ushahidi kuwa bado jamii hizo hazijajichanganya na jumuia ya watu wengine na kuathiriwa au kupoteza uasili wao.
Ndio maana unakuta kuna matangazo au habri tunasikia kuna makabila yapo hatarini kupotea kwa sababu kama hizo hapo juu.
Amerika ya Kaskazini kuna Jamii ya watu mpaka leo ina makabila yao(Natives America) Comache,Navajo ambao mpaka leo wanalinda koo zao na Mila zao wakitawala kwa mila na desturi zao.
Ulaya pia waliwahi kuwa na makabila hasa karne za nyuma kidogo hasa wakati wa Utawala wa dora ya Kirumi - Belgae,Cantiaci,Catuvellauni,Dobunni,Dumnonii,durotriges,Regnenses,Textoverdi na n.k.
Chanzo:- Mitandaoni.
Mkuu kubali tu umetema pumba asubuhi asubuhi, unachoongea wewe ni sawa na mfano Tanzania iungane na nchi za Rwanda, Burundi n' Uganda halafu kwasababu ya huo muungano lugha zao za Taifa (Kinyarwanda, Kirundi, Kiganda na Kiswahili) uziite kabila [emoji275] [emoji1]Wanayo ndiyo. Mfano UK kuna wa English, waskotish, wairish, welsh na hawa wote wana lugha zao ambazo mwingine hawezi kumuelewa mwenzie isipokua kiinglish. Na mila zao zinakuwa tofauti. Hivyo hivyo na chi nyingine ulaya ina kabila ndo maana unaona sasa hivi spain kunamgogoro wa wale wanaotaka kujitenga.
Mkuuu, ulaya makabila yalikuwepo, Ila overtime yaliendelea kupungua nguvu kutokana na utaifa...
Yaaaani mataifa ya ulaya ya umri wa mamia ya miaka na kiungo muhimu kwenye taifa ni lugha...
Angalia effect ya kiswahili tz kwa miaka 50 jinsi kilivyo unganisha watu na kupunguza ukabila, zamani kidogo ulikuwa ukisafiri mikoani unakuta more 80% ya lugha inayoongewa ni kilugha cha hapo.. Na hapo kumbuka tz 60% vijini wakati ulaya 95% ni mjini kwa zaidi ya miaka mia+ hivi.........
Nieleweshe ndio maana nimeweka uzi kueleweshwa, Hatujui kila kitu.wanayo bwana hivi unaishi duniani au ulimwenguni?
You have apoint! Unless kama walikuwa na maana nyingine na sisi tukaibeba tukidhani ni makabila kama ya kwetu.kama makabila hakuna ulaya je huu msamiti "tribe" umetokea wapi?
Umechemka mkuu....Mkuu kubali tu umetema pumba asubuhi asubuhi, unachoongea wewe ni sawa na mfano Tanzania iungane na nchi za Rwanda, Burundi n' Uganda halafu kwasababu ya huo muungano lugha zao za Taifa (Kinyarwanda, Kirundi, Kiganda na Kiswahili) uziite kabila [emoji275] [emoji1]
Nadhani umenielewa vizuri. Asante sana.Makibila sidhani maana.kilugha kwao ni lugha ya Nchi nzima. Mf.kiswidishi ni lugha ya watu wa sweeden. Makabila yao yalishapotea kutokana na kuchanyika sana kuliko sisi.
Hata ukiwa mwanza kiswahili watakachoongea ni tofauti na cha Uchaggani..Ukiwa London utasikia accent yao ni tofauti na mtu wa York. Mtu wa Liverpool akiongea tofauti na mtu wa Birmingham. Kuna accent nyingine kama za New Castle unaweza ukatoka kapa.
Mtu wa Pwani na Bara pia wana accent tofauti. Hata waUnguja na wapemba pia wana accent tofauti. Na kama umefika Kenya watu wa Lamu Mombasa na Nairobi pia accent zao zipo tofauti kabisa. Na ukienda US New York, Down south, middle west na West coast accent zao zipo tofauti kabisa. Na white American na Black American wana tofautiana accent zao. Huyu kaulizia makabila kama Wanyaturu, Wandengereko, Wamasai au Wazulu natal. kama hao Amish kwa kule USUkiwa London utasikia accent yao ni tofauti na mtu wa York. Mtu wa Liverpool akiongea tofauti na mtu wa Birmingham. Kuna accent nyingine kama za New Castle unaweza ukatoka kapa.
Sasa kama hawana makabila ni kwa nini wana msamiati wa tribe.... Ifike mahali wazungu waache kujipendekeza..Padri gani una michambo.. Mashauzi anasubiri!!?
Anyway kurudi kwa topic..
Makabila hamna ulaya..