Hivi watumishi wenzangu mnawezaje kupata utajiri wa kuwa na mihela mingi!

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
7,578
Reaction score
17,718
INTRODUCTION:-
Yaani nina ""fazaaa"" na mawazo hata kusalimia naona NAPOTEZA MUDA tuu...!!!

Hebu twende hoja..

Watumishi wa umma ambao ni matajiri hebu njooni hapa ndugu zangu..!!

Kabla ya yote si unajua humu hatujuani, WE FUNGUKA TU UNIPE ABC NDUGU YENU.

Hivi mtumishi wa umma anakuaje na hela hivi..!!!

SCENARIO:-
Jamani humu kwenye utumishi wa umma kuna watu wanahela yaani miji fedha..!!

Kuna raia leo nimeona kabisaa UTT anamiliki Bil 1.2 kapata wapi hela zote hizi huyu jamaa..!!

Changamoto nilichungulia kimbea hivyo hata nguvu ya kumuuliza nimekosa..!!!!

Mnapata wapi hela..!!

PROBLEM:-
Mimi bwana nimelelewa maisha magumu sanaa,
1. Maisha ya uswahili
2. Yatima
3. Kutengwa na kunyanyaswa na ndugu
4. Kudhulumiwa mali na ndugu
5. Nimelala sanaa nje tena sometimes nje stendi, bar na sehemu hatari (Ile njia ya Kinondoni Studio mpaka Mwananyamala A Via komakoma NIMELALA SANAA NJE kwenye ile lami)

Yaani kifupi NIMETESEKA SANAAA UTOTONI (Uyatima nyoko..!!)

Ila nilikuja kujiapiza kuwa LAZIMA NIJE KUWA TAJIRI, yaani TAJIRI HASA.

Kwasababu nilikuja kujifunza, ""Ukosefu wa hela ndio ulinipitisha kwenye zile shida zoteee""

Yaani sitaki huu utajiri wa kubadilisha mboga, Nataka ule utajiri wa kumiliki masheli, mashule, majengo, mabiashara.

Yaani huo utajiri wa kumiliki magari makali kama ya Abduli NDIO NAOUTAKA MIMI.

Nataka ule utajiri wakutumia mil 20 per day continiously kwangu iwe normal thing...!!!

THE BIG PROBLEM:-
Katika harakati zangu za kutafuta utajiri nilipanga mambo 2.
1. Nisome sanaa (Nikafika Masters nikaona inatosha sasa)
2. Nifungue biashara (Nimefungua kampuni)

Ila hii kampuni/biashara bado naiona ndogo sanaa, nyie mi nataka zile helaaa yaani mingiiii.

Nikajiunga na CCM ila sasa naona kazi tu maana, sina ndugu mkubwa, sina connection kifupi ""Am nothing infront of CCM papas..!!""
Nikaona napoteza muda, NIKAACHANA NA SIASA..!!

Watu wakasema una elimu kubwaa tulia utaonekana, ila ni mwaka wa 8 sasa namiliki Masters ila sioni nikiitwa kokote au lolote lile lifanyike nipate shavu niseme ""Masters imeonekana sasa""

Nyie mlipata wapi hela??

Sasa bana, sawa nina kanafasi ofisini, ila sasa leo nimepiga hesabu posho zotee nilizopata tokea Mfumo wa malipo wa serikali ufunguliwe (mwaka mpya wa fedha) ni Milioni isiyofika 10. Yaani hela yenyewe dah ndogoooo.

1. Wenzangu mnapata wapi hela?
2. Hizo connection za CCM mnazipataje?
3. Hizo connection za mashavu huko Wizarani au kwenye mavitengo, mnazipataje??

Naambiwa kuna jamaa yupo Dodoma anapata posho mpaka safari za kwenda nje ya nchi kikazi anazichagua, nyengine anazipiga chini na kuweka wenzake, kwamba zina posho ndogo.
Halafu ana Bachelor tu, huyo baharia aliwezaje kupata hiyo nafasi??!!!

Nataka hela, kampuni yangu ikiitwa kila mtu aijue.

Yaani kama vile ukisikia MATI unajua huyo ni Mulokozi. Nataka sasa ukisikia ""ABCDEF Company"" Raia waseme "Huyo ndio Mr. Liverpool""

NATAKA HELAAA.

CONCLUSION
Mnaosema nina tamaa, nisikilizeni niwaambie..

1. Nimekulia maisha ya kushindia na uji wa sembe tu bila sukari.
2. Nimekulia maisha ya kuombaomba balaaa.
3. Nimekulia maisha ya manyanyaso hasaaa.
4. Magumu mengi sanaa nimepitia.
5. Kuna kipindi nilishawahi kumuandikia Mungu barua ""KWANINI MUNGU ULIUA WAZAZI WANGU?""

Nataka kusema nini....
Nimeishi maisha ya umasikini hasaaaa yaani down the ground, lakini hata posho/fedha kidogo serikalini nimeshika""

Trust me "POVERT IS REAL MUCH PAINING" Tafuta hela ""UMASIKINI NYOKOOO SANAAA""

Siwezi ombea mtoto yoyote kwenye hii dunia apitishwe maisha ya uyatima niliyopitishwa.

NI MAGUMU HASAAAAA

Sasa.
Nahitaji pesa, Nahitaji pesa Sanaaaaaa.

NAZIPATAJE HIZO HELA???

Hayo maconnection ya kupiga deal na Samia, Abdul au Kikwete, WATU WANAZIPATAJE???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hakuna mtu atakuambia alikozipata, mie kuna mtumishi namjua anasema anakusanya mtaji, utt ana mil kama 45 mpango anataka ziwe 100, mi nikiwaza hiyo hela kwa vimshahara vyetu visivyo na posho anaikusanya wapi🙌
 
Huwez kuja kufanikiwa wewe (sorry to say this) kwa kuruka ruka kwako huko. Mara hapa...hujakaa sawa umerukia palee.. mzee hao wenye hizo pesa nyingi kawajlize kama walizipata kifujo fujo kama hivyo.

Bu the way mi sio Mungu ila kama usipotuliza akili ,utakufa tu kama walivyo watanzania wengi. By the way pia sahau kutajirika kama miaka yoote hiyo umejiajiri ila bado hujawa na guts za kuacha ajira. SAHAU.
 
Kuingia na kutoka CCM ndio kurukaruka..!!!

Kurukaruka ni kielezi kinachoelezea kitenzi kinacojirudi.

Kuingia na kutoka tayari ni kurukaruka.???

Au sijaelewa "Naruka ruka je?""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
INTRODUCTION:-
Yaani nina ""fazaaa"" na mawazo hata kusalimia naona NAPOTEZA MUDA tuu...!!!

Hebu twende hoja..

Watumishi wa umma ambao ni matajiri hebu njooni hapa ndugu zangu..!!

Kabla ya yote si unajua humu hatujuani, WE FUNGUKA TU UNIPE ABC NDUGU YENU.

Hivi mtumishi wa umma anakuaje na hela hivi..!!!

SCENARIO:-
Jamani humu kwenye utumishi wa umma kuna watu wanahela yaani miji fedha..!!

Kuna raia leo nimeona kabisaa UTT anamiliki Bil 1.2 kapata wapi hela zote hizi huyu jamaa..!!

Changamoto nilichungulia kimbea hivyo hata nguvu ya kumuuliza nimekosa..!!!!

Mnapata wapi hela..!!

PROBLEM:-
Mimi bwana nimelelewa maisha magumu sanaa,
1. Maisha ya uswahili
2. Yatima
3. Kutengwa na kunyanyaswa na ndugu
4. Kudhulumiwa mali na ndugu
5. Nimelala sanaa nje tena sometimes nje stendi, bar na sehemu hatari (Ile njia ya Kinondoni Studio mpaka Mwananyamala A Via komakoma NIMELALA SANAA NJE kwenye ile lami)

Yaani kifupi NIMETESEKA SANAAA UTOTONI (Uyatima nyoko..!!)

Ila nilikuja kujiapiza kuwa LAZIMA NIJE KUWA TAJIRI, yaani TAJIRI HASA.

Kwasababu nilikuja kujifunza, ""Ukosefu wa hela ndio ulinipitisha kwenye zile shida zoteee""

Yaani sitaki huu utajiri wa kubadilisha mboga, Nataka ule utajiri wa kumiliki masheli, mashule, majengo, mabiashara.

Yaani huo utajiri wa kumiliki magari makali kama ya Abduli NDIO NAOUTAKA MIMI.

Nataka ule utajiri wakutumia mil 20 per day continiously kwangu iwe normal thing...!!!

THE BIG PROBLEM:-
Katika harakati zangu za kutafuta utajiri nilipanga mambo 2.
1. Nisome sanaa (Nikafika Masters nikaona inatosha sasa)
2. Nifungue biashara (Nimefungua kampuni)

Ila hii kampuni/biashara bado naiona ndogo sanaa, nyie mi nataka zile helaaa yaani mingiiii.

Nikajiunga na CCM ila sasa naona kazi tu maana, sina ndugu mkubwa, sina connection kifupi ""Am nothing infront of CCM papas..!!""
Nikaona napoteza muda, NIKAACHANA NA SIASA..!!

Watu wakasema una elimu kubwaa tulia utaonekana, ila ni mwaka wa 8 sasa namiliki Masters ila sioni nikiitwa kokote au lolote lile lifanyike nipate shavu niseme ""Masters imeonekana sasa""

Nyie mlipata wapi hela??

Sasa bana, sawa nina kanafasi ofisini, ila sasa leo nimepiga hesabu posho zotee nilizopata tokea Mfumo wa malipo wa serikali ufunguliwe (mwaka mpya wa fedha) ni Milioni isiyofika 10. Yaani hela yenyewe dah ndogoooo.

1. Wenzangu mnapata wapi hela?
2. Hizo connection za CCM mnazipataje?
3. Hizo connection za mashavu huko Wizarani au kwenye mavitengo, mnazipataje??

Naambiwa kuna jamaa yupo Dodoma anapata posho mpaka safari za kwenda nje ya nchi kikazi anazichagua, nyengine anazipiga chini na kuweka wenzake, kwamba zina posho ndogo.
Halafu ana Bachelor tu, huyo baharia aliwezaje kupata hiyo nafasi??!!!

Nataka hela, kampuni yangu ikiitwa kila mtu aijue.

Yaani kama vile ukisikia MATI unajua huyo ni Mulokozi. Nataka sasa ukisikia ""ABCDEF Company"" Raia waseme "Huyo ndio Mr. Liverpool""

NATAKA HELAAA.

CONCLUSION
Mnaosema nina tamaa, nisikilizeni niwaambie..

1. Nimekulia maisha ya kushindia na uji wa sembe tu bila sukari.
2. Nimekulia maisha ya kuombaomba balaaa.
3. Nimekulia maisha ya manyanyaso hasaaa.
4. Magumu mengi sanaa nimepitia.
5. Kuna kipindi nilishawahi kumuandikia Mungu barua ""KWANINI MUNGU ULIUA WAZAZI WANGU?""

Nataka kusema nini....
Nimeishi maisha ya umasikini hasaaaa yaani down the ground, lakini hata posho/fedha kidogo serikalini nimeshika""

Trust me "POVERT IS REAL MUCH PAINING" Tafuta hela ""UMASIKINI NYOKOOO SANAAA""

Siwezi ombea mtoto yoyote kwenye hii dunia apitishwe maisha ya uyatima niliyopitishwa.

NI MAGUMU HASAAAAA

Sasa.
Nahitaji pesa, Nahitaji pesa Sanaaaaaa.

NAZIPATAJE HIZO HELA???

Hayo maconnection ya kupiga deal na Samia, Abdul au Kikwete, WATU WANAZIPATAJE???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kuloga
Kufanya deals za kimagumashi
Kuwa chawa wa mbogamboga😜😜😜
 
Pesa Kama currency au Mali .?

Kuna watu account zao hawana hata 100M Ila Mali zao ni mabilioni hawa ndo Mimi nadhani wanaelewa the game of money .

So badala ya kulazimisha kuwa na hela nyingi huko UTT n.k fikiria Kuwa na mali nyingi Kama Apartment , mashamba , biashara zenye good returning n.k

Ila kwa kudunduliza Mshahara wako, Posho n.k sifikirii Kama utakuwa tajiri.

Mfano tangu umeajiriwa mwaka 2010 ungenunua ardhi na ukapanda miti muda huu ungekuwa unauwezo wa kupata 500M

Au ungewekeza katika Kununua maeneo in potential areas ungekuwa unauwezo wa kuuza na Kupata good returning.

Kosa kubwa tunafanya sisi wabantu ni kuamini utajiri ni Currency (Cash ) iliyopo bank na kusahahu kuwa Mali ambazo zinapanda thamani ndo utajiri ambao unaweza kutumia wewe na vizazi vyako vijavyo.
 
Nilinunua Eka 50 Kilolo mwaka 2019 nikapanda Pine zoteee
2023 ziliungua zoteee na shamba nikauza.

Ikawa mimi na kilimo ndio byebye.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Ukiona hauna pesa basi ujue hauwezi kutumia ,mimi binafsi nikiwa bilionea nitafilisika mapema kwa sababu natoa sana pesa.

Nikishika kama bilion 100 hivi ,naona nitajenga nyumba kwa ajili ya homeless na mafukara mpaka ziishe.
 
Back
Top Bottom