Hivi watu wanam-miss JK kwa lipi kubwa hasa.?

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,056
10,721
Binafsi sijaelewa ila naomba nifahamishwe; JK ana-missiwa kwa lipi hasa?..

. Kwa matumizi makubwa ya fedha za serikali kwa kwa safari zaidi ya elf tano duniani?..'

. Kwa kupaisha deni la taifa zaidi ya mara tatu ya alivyoacha Mkapa?..

. Kwa kuhadaa watanzania kuhusu RICHMOND na DOWANS na bado mpaka leo zinadunda?..

. Kwa kuunga mkono uvurugaji wa uchaguzi wa Zanzibar..?

. Kwa kumleta Obama na Xin Ping wa china na Timu ya veterans wa Real Madrid?..

. Au kwa kutuletea Mheshimiwa JPM kuongoza nchi hii?!
 
Wewe tu umeshammiss ndiyo maana umemwongelea
 
KWA YOTE HAYO HAPO JUU LAKINI KUBWA NI KUHAKIKISHA KUWA ZANZIBAR INAENDELEA KUTAWALIWA NA TANGANYIKA
 
Kwa kuzingatia katiba na misingi ya democrasia na haki za binadamu ! TZ iliingia mikataba ya kimataifa mbalimbali ktk kuhakikisha haki za binadamu zinazingatiwa eg uhuru wa kuongea , kutoa maoni, kulindwa, right of Liberty , free movement , haki ya kusikilizwa etc na utawala bora wenye kufuata sheria eg Mtu aki tuhumiwa kosa kufikishwa mahakamani
 
Sasa mlikuwa mnataka mabadiliko ya nini wakati JK alikuwa vizuri?
Unafiki wao hautamuacha yeyote.

Kama JK wanammiss subiri JPM akistaafu.

Kuna watu wanataman maisha ya enzi za Mwinyi wacha wasubirie yatakuja yakija tutamtafuka Mkapa tena.
 
Mleta mada utakuwa bado unategemea watu tena kama sio wazazi wako,utakuwa unaishi kwa shemeji kwa mgongo wa Dada yako.tena hata hiyo simu unayotumia humu shemeji atakuwa amekuachia baada ya yeye kununua mpya.huwezi jua kwanini watu wamemmiss jk wakati ujui huko sokoni unga unapanda bei kwa kiasi gani,sukari imefikia kiasi gani,siku ukianza kujitegemea utokuja kuuliza swali hili
 
Trip za nje nilikuwa ize. Si unajua mishahara kidogo? Madili kedekede, huna haja hata ya kuangalia kama mshahara umeingia au hapana
 
Back
Top Bottom