Hivi wasomali asili yao ni wapi?

Hivi wasomali asili yao ni wapi?

Status
Not open for further replies.
Candid scope unaanza kuchosha sasa, unataka kusema Saudia Arabia , Oman , UAE , Bahrain, na Qatar wayahudi?

Uzao wa mtoto wamjakazi palestina na uzao wa farao wengine walihama kwenda tafuta makazi miji ya mbaali.
 
Candid scope unaanza kuchosha sasa, unataka kusema Saudia Arabia , Oman , UAE , Bahrain, na Qatar wayahudi?

Wayahudi na waarabu ni jamii moja tu na wamekuja kutofautiana sababu ya itikadi za kidini ya kiislamu na kiyahudi. Soma biblia wanatokana na watoto mapacha.

Huoni kuna viashiria vingi vinavyowafanya wafanane na hata hasira, kasirani na kulipa kisasi.

Ugomvi unaoendelea ni wa mtu na ndugu yake, ujuavyo ilivyo vigumu kuamua ugomvi wa ndugu kuliko wa watu baki. Hujawahi kuona waislamu wakiwasema vibaya dini za Kibuda isipokuwa hii iliyoasisiwa na myahudi.
 
Waarabu ni wayahudi

Wapo Wayahudi ambao ni Waarabu, wengi tu. Hilo halina ubishi.

Two Jews: One Moroccan Arab and the other Ethiopian Jew. Are they both 'Chosen'? Are they both descendants of the ancient 'Israelites'? Of course not!​
 
Wayahudi na waarabu ni jamii moja tu na wamekuja kutofautiana sababu ya itikadi za kidini ya kiislamu na kiyahudi. Soma biblia wanatokana na watoto mapacha.

Huoni kuna viashiria vingi vinavyowafanya wafanane na hata hasira, kasirani na kulipa kisasi.

Ugomvi unaoendelea ni wa mtu na ndugu yake, ujuavyo ilivyo vigumu kuamua ugomvi wa ndugu kuliko wa watu baki. Hujawahi kuona waislamu wakiwasema vibaya dini za Kibuda isipokuwa hii iliyoasisiwa na myahudi.

Acha kupotosha wewe hakuna pacha hapo ni mwarabu ni uzao wa mjakazi alizaana bosi baada ya mke kutozaa miaka mingi lakini Mungu baadae alimpatia mke halali mtoto.
 
Acha kupotosha wewe hakuna pacha hapo ni mwarabu ni uzao wa mjakazi alizaana bosi baada ya mke kutozaa miaka mingi lakini Mungu baadae alimpatia mke halali mtoto.
Uarabu ni lugha imeanza karne ya 6 baada ya yesu.ishmael hakua mwarabu in a really sense,wala hakupata kuongea kiarabu.
mfano walebanon asili yao ni wacaanan lakini baadae walikuja ongea kiarabu.kuna jamii kibao ziliingiliana ndo tukapata jamii za leo.miaka hiyo hata kisukuma hakikuwepo.miaka hiyo hata kiingereza hakikuwepo pia,jamii hubadilika kadri mda unavyokwenda
 
Acha kupotosha wewe hakuna pacha hapo ni mwarabu ni uzao wa mjakazi alizaana bosi baada ya mke kutozaa miaka mingi lakini Mungu baadae alimpatia mke halali mtoto.

Unakumbuka historia kwenye biblia ambapo watoto mapacha walikuwa wanagombana tumboni mwa mama yao, hata baada ya kuzaliwa wakaendelea kugombana hadi walipokua. Kisha baba yao kawaambia dunia kubwa kawagawanyisha mifugo. Kisha kasema tazama mashariki ni kubwa na magharibi ni kubwa pia, wewe nenda upende wa mashariki na wewe upande wa magharibi ili kuleta ambani ndugu wasijhe kuuana. Huo ni ugomvi wa ndugu kwa ndugu.
 
Mkimaliza ya wasomali, naomba asili ya WAZARAMU!
 
Waarabu tuna fahamu asili yao na wahindi hali kadhalika lkn wasomali Africa hawapo Asia hawapo. Jamani nani mwenye kujua uwepo wao hawa watu?
Yaani asili yao ni wapi,kama vile sisi wabantu asili yetu ni central Africa sasa wao ni wapi?
Unamaanisha asili ya muheshimiwa kiina nah
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom