Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,454
Asili Yao somalia
Tuwe tunauliza hoja zenye maana ,mwisho mtauliza asili ya watu albino ebu tubadilike ndgu zangu
Mkimaliza ya wasomali, naomba asili ya WAZARAMU!
eti Handeni!? wewe kweli maamumaaa!
Soma kijana, soma.
Ilm nnayokupa ni ya juu, kiwango chako cha ilm bado ni duni sana.
Forty-six year old Amir Luge, and a father of five, holds not even the slightest hint or look of a Somali origin. Yet truth prevails. He is a Somali after all, although he detests that, believing beyond any reasonable doubt that he is a Tanzanian of a Zigua tribe.
Home
waarabu tuna fahamu asili yao na wahindi hali kadhalika lkn wasomali africa hawapo asia hawapo. Jamani nani mwenye kujua uwepo wao hawa watu?
Yaani asili yao ni wapi,kama vile sisi wabantu asili yetu ni central africa sasa wao ni wapi?
Unakumbuka historia kwenye biblia ambapo watoto mapacha walikuwa wanagombana tumboni mwa mama yao, hata baada ya kuzaliwa wakaendelea kugombana hadi walipokua. Kisha baba yao kawaambia dunia kubwa kawagawanyisha mifugo. Kisha kasema tazama mashariki ni kubwa na magharibi ni kubwa pia, wewe nenda upende wa mashariki na wewe upande wa magharibi ili kuleta ambani ndugu wasijhe kuuana. Huo ni ugomvi wa ndugu kwa ndugu.
Huyo Kijakazi alikuwa ni mnani? Mmatumbi, Mpogoro, Myahudi, au?Uzao wa mtoto wamjakazi palestina na uzao wa farao wengine walihama kwenda tafuta makazi miji ya mbaali.
Somalia
Inaelekea huwajui wasomalia wewe!!!
Hawa jamaa usiombe ukakutana nao kwenye kusaka mali!!Ujangili wa tembo waliuanza miaka mingi sana kule Kenya na waloua watu sana na kudhulumu wale waliokua wanawatafutia hizo pembe au meno ya tembo.Tafuta watu wa Songea watakujuza uharamia wa Wasomalia miaka ya 1985 - 2000.
Mkimaliza ya wasomali, naomba asili ya WAZARAMU!
Pole sana mkuu na masahibu yaliyokupata ,vipi lakini ulipata ushauri nasaha ama?,maana bila ushauri nasaha unaweza pata tabu sana kisaikolojia.nani anawafitinisha wafiraji wakubwa wale hakuna watu nachukia kama wasomali wale ni kabila moja ila koo tofauti wanajitofautisha kwa koo pumbavu zao
Ukiona hivyo ujue siku za mwisho zimekaribiaMwaka 2009 nilipokuwa mwaka wa kwanza ndio nilianza kutumia JAMII FORUM...nlikuwa naingia as a guest so nilikuwa sinamamlaka ya kupost...nilitumia JF kama sehemu ya kijifunza na nlijifunza kweli mambo mapya ingawa katika jamii inayonizunguka nlikuwa muongeaji mzuri iyo ilipelekea watu waniamin sana,sasa nilivoingia JF nkagundua mie kumbe mweupe....michango kama ya the boss,mzizi mkavu,faizafoxy,kipangan na wengine niliowasahau ulikuwa inajenga sana...
Sasa mwaka 2010 nilijiunga kwa Mara ya kwanza kwa ID ambayo kwa sasa siitumii kutokana mambo ya aibu nliyokuwa na post
Nashangaa siku izi JF sio ya great thinker.. Bali imejaa ubabaishaji mtu anaandika thread ya maana...watu wanajibu upumbavu mpaka najiulizaga sana kabla ya kuingia...watu wanaboa sana.
Na wahindi asili yao wapi?Waarabu tuna fahamu asili yao na wahindi hali kadhalika lkn wasomali Africa hawapo Asia hawapo. Jamani nani mwenye kujua uwepo wao hawa watu?
Yaani asili yao ni wapi,kama vile sisi wabantu asili yetu ni central Africa sasa wao ni wapi?