Hivi wasomali asili yao ni wapi?

Hivi wasomali asili yao ni wapi?

Status
Not open for further replies.
Mwaka 2009 nilipokuwa mwaka wa kwanza ndio nilianza kutumia JAMII FORUM...nlikuwa naingia as a guest so nilikuwa sinamamlaka ya kupost...nilitumia JF kama sehemu ya kijifunza na nlijifunza kweli mambo mapya ingawa katika jamii inayonizunguka nlikuwa muongeaji mzuri iyo ilipelekea watu waniamin sana,sasa nilivoingia JF nkagundua mie kumbe mweupe....michango kama ya the boss,mzizi mkavu,faizafoxy,kipangan na wengine niliowasahau ulikuwa inajenga sana...
Sasa mwaka 2010 nilijiunga kwa Mara ya kwanza kwa ID ambayo kwa sasa siitumii kutokana mambo ya aibu nliyokuwa na post
Nashangaa siku izi JF sio ya great thinker.. Bali imejaa ubabaishaji mtu anaandika thread ya maana...watu wanajibu upumbavu mpaka najiulizaga sana kabla ya kuingia...watu wanaboa sana.
ulikuwa bado kilaza na mshamba so hata ujinga ulikuwa unaona ni pointi,hata hawa wanaokomenti ujinga basi ujue na hao ni mwaka wa kwanza kama wewe ulivyokuwa nao wanaona ni mambo ya maana wakikua wataona ujinga
 
Emancipate yourself from MENTAL SLAVERY, non but ourselves can free our MIND-Bob Marley.
 
Wasomali asili yao ni pale k,koo GEREZANI,kuna mtaa mmoja unaitwa SOMALI,hapo ndio asili yao.Au kamuulize RAGE wa SIMBA FC atakufahamisha vema.
 
Na ni taifa ambalo wanaongea lugha moja, dini moja, lakini hawaelewani wanauwana kama kuku .

Unaulizwa Ujauzito, we unaleta KITAMBI!

Hata wahutu, Wa Irish, wa iraq, wa Cambondia, wa Russia wote hao wanauwana Kila siku wao kwa wao!

Usiwe unaandika Vitu hujaulizwa! Nani asie yajua hayo?

Umeulizwa Asili ya Wasomali Ni WAPI?
Jibu swali au Kaa kimya!
Mipasho sio mahala pake hapa.
 
Acha kupotosha wewe hakuna pacha hapo ni mwarabu ni uzao wa mjakazi alizaana bosi baada ya mke kutozaa miaka mingi lakini Mungu baadae alimpatia mke halali mtoto.

We mparoko! Hapa sio kwenye yale madanguro yenu ya kuibia watu!
Mahubiri mpelekee gwajima!
Hapa tunajadili Asili ya WASOMALI.

Mambo ya Mjakazi na boss Mnajua nyie mnaopakwa mafuta pande za kaskazini ya makalio.

Huna hoja Kaa kimya.
Usituharie bure hapa hayo makande ya juzi.
 
Unakumbuka historia kwenye biblia ambapo watoto mapacha walikuwa wanagombana tumboni mwa mama yao, hata baada ya kuzaliwa wakaendelea kugombana hadi walipokua. Kisha baba yao kawaambia dunia kubwa kawagawanyisha mifugo. Kisha kasema tazama mashariki ni kubwa na magharibi ni kubwa pia, wewe nenda upende wa mashariki na wewe upande wa magharibi ili kuleta ambani ndugu wasijhe kuuana. Huo ni ugomvi wa ndugu kwa ndugu.

Hio historia aliyoiandika alitumia yale majani yaliopigwa marufuku akidhani ni Tumbaku kumbe Bobu male!

Kkkkkkkkk!
 
ulikuwa bado kilaza na mshamba so hata ujinga ulikuwa unaona ni pointi,hata hawa wanaokomenti ujinga basi ujue na hao ni mwaka wa kwanza kama wewe ulivyokuwa nao wanaona ni mambo ya maana wakikua wataona ujinga

Mkuu we unaoneka wame kudukua sana hawa jamaa.
Au uliwekwa kimada na msomali halafu akakutema!?
Naona umwaga mapovu ovyo!
Au mimba changa inakusumbua?
 
Mkuu we unaoneka wame kudukua sana hawa jamaa.
Au uliwekwa kimada na msomali halafu akakutema!?
Naona umwaga mapovu ovyo!
Au mimba changa inakusumbua?

Hahaahahaha ndio maana anahangaika kumbe ni mimba ya msomali I wonder why she hate them....
 
Unaulizwa Ujauzito, we unaleta KITAMBI!

Hata wahutu, Wa Irish, wa iraq, wa Cambondia, wa Russia wote hao wanauwana Kila siku wao kwa wao!

Usiwe unaandika Vitu hujaulizwa! Nani asie yajua hayo?

Umeulizwa Asili ya Wasomali Ni WAPI?
Jibu swali au Kaa kimya!
Mipasho sio mahala pake hapa.

kahtaan bhana, bado uko kifungoni tu?
 
Wapo Wayahudi ambao ni Waarabu, wengi tu. Hilo halina ubishi.

Two Jews: One Moroccan Arab and the other Ethiopian Jew. Are they both 'Chosen'? Are they both descendants of the ancient 'Israelites'? Of course not!​

Of course yes you fool. I am also a decendant of the jews since i am a follower of Jesus Christ and he is a decendant of David and Abraham. You dont like it? That is your f*ng problem.
 
Of course yes you fool. I am also a decendant of the jews since i am a follower of Jesus Christ and he is a decendant of David and Abraham. You dont like it? That is your f*ng problem.

It seems you do not know what is your position in the eyes of the bible writers (I do not believe Jesus can call you Dog and Pig aka Swine):

Kwa maneno yasiotatanisha Yesu Kristo anasema kuwa yeye hakutumwa ila kwa "kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli." Hakuwajia Waarabu, wala Wazungu, wala Wahindi, wala Waafrika, wala Machina. Kama hayo hayakutosha kuonyesha kuwa yeye hakuwajia wasio Mayahudi anazidi kufahamisha kwa mfano wa kumkata mtu kiu: Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa." Ikiwa ipo shaka yo yote katika akili ya mtu kuwa maana ya maneno hayo ni kuwa Yesu anasema kuwa hakutumwa kwa kabila nyengine zo zote ila Waisiraili tu na atazame mwenye shaka tafsiri kubwa kabisa ya Wakristo inayoeleza maana wazi maneno ya Biblia, The Interpreter's Bible, sahifa 441 jalada VII ambamo imeandikwa hivi: "Yaonekana wazi kuwa Yesu hakika aliamini kuwa ujumbe wake kwanza na khasa ni kwa watu wake mwenyewe." Ndio maana alisema:
Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.
 
Asili yao ni Somalia ndio maana wanaitwa wasomali.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom