Waarabu tuna fahamu asili yao na wahindi hali kadhalika lkn wasomali Africa hawapo Asia hawapo. Jamani nani mwenye kujua uwepo wao hawa watu?
Yaani asili yao ni wapi,kama vile sisi wabantu asili yetu ni central Africa sasa wao ni wapi?

Hapa patamu. Enhee, tueleze Waarabu asili yao ni wapi?
Wasomali asili yao Handeni (baadhi yao). kwi kwi kwi teh teh teh
Wengi wao walitokea Yemen na Ethiopia.Motive ni kujua asili ya hawa ndugu zetu ambao tupo ktk continent moja lkn tupo tofauti kidogo na nimesikia wana undugu na wairaq (wambulu) na wabarbaig yaani historia yao ilianzia wapi
Asili yao si ni adamu na hawa.?Waarabu tuna fahamu asili yao na wahindi hali kadhalika lkn wasomali Africa hawapo Asia hawapo. Jamani nani mwenye kujua uwepo wao hawa watu?
Yaani asili yao ni wapi,kama vile sisi wabantu asili yetu ni central Africa sasa wao ni wapi?
Sodoma na gomora si iko tiberial(sp)karibu na tel aviv?asili ya wasomali na waarabu ni SODOMA na GOMORA.
Hapa patamu. Enhee, tueleze Waarabu asili yao ni wapi?
Wasomali asili yao Handeni (baadhi yao). kwi kwi kwi teh teh teh
Waarabu asili yao ni Arabuni sio India.Wasomali asili yao ni pembe ya Afrika.Waarabu tuna fahamu asili yao na wahindi hali kadhalika lkn wasomali Africa hawapo Asia hawapo. Jamani nani mwenye kujua uwepo wao hawa watu?