Hivi wapo mabikra kuanzia 30yrs na kuendelea?

Mbona wanawake wako kimya?????????????????? Ndo wanatakiwa kusema tunazo!!!!!!!!!! Akina Michelle wanatuzuga tu kwa hizo za kichina?? Ambazo hata kabla kitu hakijatia timu ndani, njia ilishakuwa nyeupe na laini kupita!!!! Wapi, hakuna bikira hata miaka 13 kwa msichana ni ndoto siku hizi!! Anyway, siyo kitu cha kujivunia kweli. Dunia imekwisha.. Mie nakumbuka enzi zangu zile natafuta totos, tulikuwa tukiviringishana porini takribani masaa 5, utafikiri umebaka, kumbe umepewa kwa moyo mweupe lakini kupatanj..a ya kupitish ilikuwa shughuli pevu, lakini siku hizi, kazi nyepesi sana!!!

sasa miaka 13 unatudanganya, mimi demu wangu ambaye natarajia kumuoa Mungu akipenda, nilimkuta nayo, n i could tel it was original..not mchina,, she iz approximately 22
 
hiyo ni bahat yako km hujashkishwa ya kichina. Kiukwel cku hz hakuna original. Tena miaka 10 hawana acha hyo 13 amejitahid. Inacktisha sn!
sasa miaka 13 unatudanganya, mimi demu wangu ambaye natarajia kumuoa Mungu akipenda, nilimkuta nayo, n i could tel it was original..not mchina,, she iz approximately 22
 
Wana JF nimekuwa kwenye mjadala na watu kadhaa takribani siku 2,kwamba hivi katika kizazi hiki cha utandawazi kweli wapo wanawake mabikra wanaofika miaka 30 au kuzidi. Ni kweli wapo

Hivi unapojadili mambo mediocre kama hayo huoni una dumaza akili yako.Ni vizuri tukajifunza ku-discuss mambo ya manufaa kwetu wenyewe. Tuepuke kujilisha takataka!
 
Hivi unapojadili mambo mediocre kama hayo huoni una dumaza akili yako.Ni vizuri tukajifunza ku-discuss mambo ya manufaa kwetu wenyewe. Tuepuke kujilisha takataka!

Starehe ya mtu ni .... acha watu wafurahishe nafsi zao .. hapo kwenye blu ndio tatizo lilipo! Rejea baadhi ya Risala za brotherman wa taifa Mzee ruksa...:A S thumbs_down:
 
Mmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhh????????????? Sawa bibie!!!!!!!!!! Ni kweli, nimekumbuka!!!!!!!!

Umeona....una tabia ya kusahau sana??siku nyingine ukibisha kwa usahaulifu wako mimi nita :boxing::boxing:.....nimekusamehe,usirudie....l.o.l
 
hiyo ni bahat yako km hujashkishwa ya kichina. Kiukwel cku hz hakuna original. Tena miaka 10 hawana acha hyo 13 amejitahid. Inacktisha sn!

Usibishe kama hujapata iona/shuhudia. Kuna dada mmoja hapa bongo nina mfahamu tena amekulia manzese
 
Sitaki kusingiziwa. Sijaitoa ya kwako, ila nimewahi kutoa mbili tu. Siku hizi hazipo. Hata hizo za kichina ulizosema, siyo lengo la mtoa mada. Kubali tu kuwa huna, mambo yaishe. Tuwaombee ninyi msiruhusu kuzitoa au tuombewe sisi wanaume??? Nani mwenye mamlaka ya kutolewa na kubakiza bikira???????

Hakuna aliyekusingizia wewe unadai sina,mimi najua ninayo....ndo nikakuuliza nikasema utakuwa uliitoa wewe.....ukiacha kusingizi nawe hutasingiziwa......siwezi kubali sina wakati ninayo,mambo yasiishe but nasema NINAYO tena ORIGINAL......

Kila mtu ana mamlaka na mwili wake,kuitoa au kubakiza litabaki kuwa suala la mtu binafsi.......:first:
 
Masista wa roman catholic wapo mabikra hadi wa miaka 70.....ila sijui kama wadada wetu wa siku hizi wanajiunga na usista
 
Hivi unapojadili mambo mediocre kama hayo huoni una dumaza akili yako.Ni vizuri tukajifunza ku-discuss mambo ya manufaa kwetu wenyewe. Tuepuke kujilisha takataka!

Mkuu dont be too kritiko, ndio maana kuna majukwaa mengi, mapenzi,jokes,mambo ya kikubwa nk, hatuwezi siku 360 tukajadili richmond tu, wakati mwingine u need to refresh ur mind kwa mambo ya kijamii kama haya.
 
wapo wengi.....mi ninayo but am not yet 30....nitakujibu when i get 30 kama bado ntakuwa nayo.......:A S 20::twitch::sick::horn::first:
mmm. Michelle, ngoja nijikumbushe hesabu rahisi, uki integrate(from 0 to N) discussion zako katika jukwaa la wakubwa jibu linakuja kinyume na na comment yako hii (i.e. mzoefu) - lol.
 
Back
Top Bottom