Hivi wapo mabikra kuanzia 30yrs na kuendelea?

Hospitali wanafungua za hivyo,kuna rafiki zangu walijaribu wiki nzima baada ya kuoana mpaka jamaa akavimba wakaenda hospitali akaambiwa bikira ya mwanamke ilikuwa ngumu sana wakamchana.

mmmmmhhhhhhhhhh
 
Tatizo lenu mnadhani bikira inatolewa kwa kujamiiana tu! Siyo kila mwanamke ambaye hana bikira amechakachuliwa, no. Wengine zinatoka wakiwa mazoezini, wakiendesha beiskeli n.k
 
wapo wengi.....mi ninayo but am not yet 30....nitakujibu when i get 30 kama bado ntakuwa nayo.......:A S 20::twitch::sick::horn::first:
suburu yake, dhamira yako yenyewe inakusuta. sio rahisi kwa 30, labda uwe mlokole sanaaa. waifu nilimuoa akiwa na 23, alikuwa bikira. hawa watu huwa ni wazuri sana, wana heshima sana, wana upendo uliopitiliza na membo mengi wanajifunza kutoka kwako. na wanakuwa waoga kutongozwa nje. ila wanakuwa na wivu kuliko simba, akikustukia tu unachat na mwanamke mwingine hata wafanya kazi wako tu, hata dada zako hawaamini, kutaniana na wanawake sijui nini, mtanuniana na kuraruana hadi utoe maelezo ya kueleweka yenye ushahidi mzuri. nampenda sana mke wangu.
 
Unajua kinachonishangaza hakuna hali inayoitwa bikira.Ni myth kama stori ya nguva nus mwanamke nusu samaki.I stand to corrected with scientific evidence.
 
Iukwel ni kuwa zipo. Katika kundi la wanawake, wapo wengi (may be more than 20%) wanaoanza ngono above 30. Wapo na nimeshakutana nazo sometimes... lol.

Tuko, mimi nakataa hakuna mwanamke mkamilifu above 30 ambaye ni bikra kwenye haya mazingira yetu tunamoishi. Waliopo ni wale waliozaliwa na matatizo huko chini.
 
Unajua kinachonishangaza hakuna hali inayoitwa bikira.Ni myth kama stori ya nguva nus mwanamke nusu samaki.I stand to corrected with scientific evidence.


Different-types-of-hymen.jpg


Kinachoitwa bikra ni hymen. Hymen huwa inatanda kama pazia kuziba tundu la K, hymen huwa na tundu au matundu madogo ya kupitisha damu za hedhi, lakini tundu au matundu yake hayatoshi kupitisha mshedede. Hymen ni kama ngozi nene laini ambayo ndiyo hupasuka na kutoa damu inapobomolewa na mshedede, lakini maumivu yake hupona haraka kulingana na ugumu au ulaini wake.
Wapo wanawake wanaozaliwa bila hymen au wanazaliwa na hymen zenye tundu pana sana kiasi kwamba haziweki kizuizi kitu kuingia.
Wapo wanawake wanaozaliwa na hymen laini mno hivyo hupasuka zenyewe wakati wanawake wakifanya daily activities kama michezo, kuendesha baiskeli nk.

ukiangalia hiyo aina ya nne ya hymen, mwanamke wa hivyo inabidi atolewe hiyo kitu kabla hajavunja ungo, la sivyo damu ya hedhi itakuwa haitoki vizuri nje. Nishashuhudia baadhi ya visichana vikiletwa hospitali kuondolewa hiyo kitu.

The hymen comes in many different shapes and sizes. The different types include:

  • Imperforate Hymen – This is the situation where the hymen does completely cover the opening to the vagina. This condition usually goes undiagnosed until a girl enters puberty and her first period and the blood cannot flow out.
Imperforate-Hymen.jpg

Imperforate
Image source:-netterimages.com​

  • Microperforate Hymen – When this happens, the hymen almost completely closes off the vaginal opening. Menstrual blood is able to flow out, but a virginal female may not be able to use tampons.
Microperforate-Hymen.png

Microperforate
Image source: yumstories.com​

  • Septate Hymen – This is when one hymen is split into two openings over the vagina. This condition also does not stop menstrual blood flow, but can block the use of tampons in virginal females.
Septate-Hymen.jpg
 
Mimi nilikutana nayo mhusika akiwa na miaka 32. Baadae nikajashtuka ana motto mkubwa, sijui mtoto alimjamba ama aliingilia wapi???? Kuna ku-overhaul machine
 
Back
Top Bottom