Hivi wanawake wanataka nini..?

Hivi wanawake wanataka nini..?

Ili mwanamke asikusumbue unatakiwa kua na vitu vingi kwa wakati mmoja
Pesa, mwonekano, wadhifa, nguvu za kiume, tabia njema na vitu vingine ambavyo hata sisi wanawake wenyewe hatuvijui
Mwanamke wa sasa inabidi akupende yeye tu hayo mengine hayana msingi
 
Ili mwanamke asikusumbue unatakiwa kua na vitu vingi kwa wakati mmoja
Pesa, mwonekano, wadhifa, nguvu za kiume, tabia njema na vitu vingine ambavyo hata sisi wanawake wenyewe hatuvijui
Mm mnitoe hapo kwenye hiyo list ya wanaume, bora mniache tuu
 
Wakuu leo nimekaa nikatafakari sana hivi ili wanawake wasikusumbue unatakiwa kua na pesa?
2 au kua na mwanamke mmoja?
3 au kua handsam?

nimejiuliza mara nyingi sijapa jibu we unaona w
WANAWAKE WANATAKA NINI HASWA KWA WANAUME ILI WATULIE.?

MADA:
Achana na wanawake viumbe wagumu wasioridhika
 
Kwa hiyo Sasa hivi wala huteseki
Kwanza hakuna kitu rahisi Kama mwanamke yani easy Sana yan hata ikifika mnaachana Wala hamjijui Kama mmeachana😆

Hata msipoonana miaka miwili mkionana tu unaichapa
 
Kwanza hakuna kitu rahisi Kama mwanamke yani easy Sana yan hata ikifika mnaachana Wala hamjijui Kama mmeachana😆

Hata msipoonana miaka miwili mkionana tu unaichapa
😅😅😅Ila mapenzi
 
Back
Top Bottom