Enock gabriel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2021
- 348
- 321
Hao ndy wanawake mzeeeHabarini! Kuna wakati katika maongezi unaweza sikia msichana akimuambia mwenzake, 'yule kaka ameshalipia mahari, na kakamilisha taratibu zote, nilikuwa nampenda ila ghafla nimejikuta tu namchukia'.
Pia anaongeza, 'sijui kwa nini namchukia na ananihudumia kila kitu'
Na maneno mengi ya ukakasi kama haya, hivi ni kweli? Au ni visingizio na wizi/utapeli tu? Maana wengine hushauriwa mpaka kukimbilia kuombewa, eti wana mapepo.
Mbona we ndo ulishushwa kabla hujawashusha yoote uliyafanya akikuchora tu anasema huyu boya hata picha haoni?Nilimtongoza akakubali nikaenda kwao nikatoa posa baada ya hapo Mahali nikatoa ndugu na jamaa wakaandaa harusi bado wiki moja kufunga ndoa mchumba akakataa 😣😣😣.
Hivi viumbe nikavishusha thamani kabisa
Usiwalaumu kwenye kuchumbiwa kuna mengi.. Vita ni kubwaHabarini! Kuna wakati katika maongezi unaweza sikia msichana akimuambia mwenzake, 'yule kaka ameshalipia mahari, na kakamilisha taratibu zote, nilikuwa nampenda ila ghafla nimejikuta tu namchukia'.
Pia anaongeza, 'sijui kwa nini namchukia na ananihudumia kila kitu'
Na maneno mengi ya ukakasi kama haya, hivi ni kweli? Au ni visingizio na wizi/utapeli tu? Maana wengine hushauriwa mpaka kukimbilia kuombewa, eti wana mapepo.
Of Ofcoz ndoa inakupa status flani adi mashost wanakutamania....ila unayokwenda kukutana nayo huko kama uliforce sasa😓😓Wadada wengi wanataka Ndoa ili wasitirike, siyo kwa sababu wamependa.
HakikaUsiwalaumu kwenye kuchumbiwa kuna mengi.. Vita ni kubwa
Uliludishiwa mahali yakoNilimtongoza akakubali nikaenda kwao nikatoa posa baada ya hapo Mahali nikatoa ndugu na jamaa wakaandaa harusi bado wiki moja kufunga ndoa mchumba akakataa [emoji21][emoji21][emoji21].
Hivi viumbe nikavishusha thamani kabisa
Ndio tuliwaomba wairudishe wakafanya hivyoUliludishiwa mahali yako
Sasa yote yalikua ya kazi gani kwann asingekataa toka mwanzo shame on her 😠😠😠Mbona we ndo ulishushwa kabla hujawashusha yoote uliyafanya akikuchora tu anasema huyu boya hata picha haoni?
..au kupunguza shida za maisha, kuna mmoja nilimsikia akisema 'sasa yeye ana kazi nzuri ya nini aolewe, sisi tusio na kazi ndiyo tunatamani kuolewa' , aisee, nikabaki nimeduwaaili wasitirike
Nilimtongoza akakubali nikaenda kwao nikatoa posa baada ya hapo Mahali nikatoa ndugu na jamaa wakaandaa harusi bado wiki moja kufunga ndoa mchumba akakataa [emoji21][emoji21][emoji21].
Hivi viumbe nikavishusha thamani kabisa
Mbinu ya Kivietnum hiiKiufupi tu ni kwamba unatakiwa kumzalisha mwanamke ndio ukatoe mahari na kutangaza ndoa ata akikukimbia kabla ya ndoa unakua huna ulichopoteza.
Ni kweli mkuuWadada wengi wanataka Ndoa ili wasitirike, siyo kwa sababu wamependa.