Hivi wanawake wakoje? Hebu msomeni huyu

Hivi wanawake wakoje? Hebu msomeni huyu

Habari zenu.Nianze kwa kuuliza hivi wanawake wakoje?.Hii imenitokea juzi jioni.Ni hivi nilikuwa katika mahusiano na mwanamke ni mahusiano ambayo sikuwahi kuyaelewa nikaamua kuachana nayo. Kwanini Niliamua kumuacha huyo mwanamke?.Hakuwa serious na mimi kwani meseji alikuwa hajibu na pia ukipiga alikuwa hapokei na kama meseji akijibu basi ni taratibu sana.Nikaamua kumuacha bila kuniambia chochote.Baada ya siku tatu Tu kuwa zimepita nikiwa nimepiga kimya huyu mwanamke juzi jioni SAA kumi na moja alinitafuta Kwa ujumbe mfupi wa maneno(SMS).Nilishangaa kidogo maana hajawahi kabisa kunitafutaga. Meseji ilikuwa inasema "Hello" baadae tena ikatuma meseji inasema "Samahani nimekuta missed yako".Tena Nilishangaa kwa mara nyingine maana huyu mwanamke siku hiyo sikumtafuta kabisa kama yeye alivyokuwa anadai. Baada ya kumaliza shughuli zangu ilipofika SAA mbili usiku ndipo nikamjibu hivi."Hapana Mimi Leo sijakutafuta kabisa".Kisha nikaa kimya.Baada ya muda akajibu akidai SAA kumi na moja nilimtafuta kwa kumpigia simu wakati Mimi huo muda nilikuwa bize hata kushika simu ni shida.Nikamjibu tena "Hapana" akanijibu akasema "Samahani sana labda nilipitiwa".Nikamjibu usijali.Baada ya hapo nikaa kimya tena Hadi leo sijamtafuta.Kiufupi huyu mwanamke nilitokea kumpenda sana japo na yeye mwanzo alishawahi kuniambia ananipenda pia lakini baadae nilipomuona hasomeki nikampotezea.Sasa hizi meseji zake za juzi ndio zimenifanya nitafakari juu yake kwamba huenda kuna kitu anataka kuniambia Bali anasita sita ama?.
Mbuzi kaangukia kwenye sufuria ya muuza supu🏃🏃🏃
 
Mpe nafasi, labda ubongo wake unareact pole pole😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🚬🚬🚬
 
HUSIA KWA KIJANA..
Elewa neno kijana wangu.. ni kwa ajili ya kijana wangu tu nyie wengine mteseke tu na mapenzi...
(1)kamwe usijidanganye kijana wangu ni vigumu sana kumtabili mwanamke anataka nini..?? wao kila kitu wanataka
(2) hata maandiko matakatifu yametuasa ya kwamba hawa ni viumbe wenye vitimbi vingi tuishi nao kwa akili na kama hujanielewa hapa tafuta muda tuongee.
 
Habari zenu.Nianze kwa kuuliza hivi wanawake wakoje?.Hii imenitokea juzi jioni.Ni hivi nilikuwa katika mahusiano na mwanamke ni mahusiano ambayo sikuwahi kuyaelewa nikaamua kuachana nayo.

Kwanini Niliamua kumuacha huyo mwanamke?.Hakuwa serious na mimi kwani meseji alikuwa hajibu na pia ukipiga alikuwa hapokei na kama meseji akijibu basi ni taratibu sana.Nikaamua kumuacha bila kuniambia chochote.Baada ya siku tatu Tu kuwa zimepita nikiwa nimepiga kimya huyu mwanamke juzi jioni SAA kumi na moja alinitafuta Kwa ujumbe mfupi wa maneno(SMS).

Nilishangaa kidogo maana hajawahi kabisa kunitafutaga. Meseji ilikuwa inasema "Hello" baadae tena ikatuma meseji inasema "Samahani nimekuta missed yako".Tena Nilishangaa kwa mara nyingine maana huyu mwanamke siku hiyo sikumtafuta kabisa kama yeye alivyokuwa anadai.

Baada ya kumaliza shughuli zangu ilipofika SAA mbili usiku ndipo nikamjibu hivi."Hapana Mimi Leo sijakutafuta kabisa".Kisha nikaa kimya.Baada ya muda akajibu akidai SAA kumi na moja nilimtafuta kwa kumpigia simu wakati Mimi huo muda nilikuwa bize hata kushika simu ni shida.Nikamjibu tena "Hapana" akanijibu akasema "Samahani sana labda nilipitiwa".Nikamjibu usijali.Baada ya hapo nikaa kimya tena Hadi leo sijamtafuta.

Kiufupi huyu mwanamke nilitokea kumpenda sana japo na yeye mwanzo alishawahi kuniambia ananipenda pia lakini baadae nilipomuona hasomeki nikampotezea.Sasa hizi meseji zake za juzi ndio zimenifanya nitafakari juu yake kwamba huenda kuna kitu anataka kuniambia Bali anasita sita ama?.
Sms hiyo ni njia ya kukupima msimamo wako, ama ni swali la kizushi alilotaka kujihakikishia kama ni kweli haujamtafuta kwa kipindi chote hicho.

Hisia zako za kusitisha maawsiliano zipo sahihi, ni kwa faida ya mustakabali wako wa baadaye.

Penzi jipya linakuwaje na mawasiliano ya upande mmoja, why!

Hilo penzi ni mfu, angazia "chimbo" jingine.
 
Karibu Arusha hivi sasa hali ya hewa ipo namna hii

1693292405641.png
 
Habari zenu.Nianze kwa kuuliza hivi wanawake wakoje?.Hii imenitokea juzi jioni.Ni hivi nilikuwa katika mahusiano na mwanamke ni mahusiano ambayo sikuwahi kuyaelewa nikaamua kuachana nayo.

Kwanini Niliamua kumuacha huyo mwanamke?.Hakuwa serious na mimi kwani meseji alikuwa hajibu na pia ukipiga alikuwa hapokei na kama meseji akijibu basi ni taratibu sana.Nikaamua kumuacha bila kuniambia chochote.Baada ya siku tatu Tu kuwa zimepita nikiwa nimepiga kimya huyu mwanamke juzi jioni SAA kumi na moja alinitafuta Kwa ujumbe mfupi wa maneno(SMS).

Nilishangaa kidogo maana hajawahi kabisa kunitafutaga. Meseji ilikuwa inasema "Hello" baadae tena ikatuma meseji inasema "Samahani nimekuta missed yako".Tena Nilishangaa kwa mara nyingine maana huyu mwanamke siku hiyo sikumtafuta kabisa kama yeye alivyokuwa anadai.

Baada ya kumaliza shughuli zangu ilipofika SAA mbili usiku ndipo nikamjibu hivi."Hapana Mimi Leo sijakutafuta kabisa".Kisha nikaa kimya.Baada ya muda akajibu akidai SAA kumi na moja nilimtafuta kwa kumpigia simu wakati Mimi huo muda nilikuwa bize hata kushika simu ni shida.Nikamjibu tena "Hapana" akanijibu akasema "Samahani sana labda nilipitiwa".Nikamjibu usijali.Baada ya hapo nikaa kimya tena Hadi leo sijamtafuta.

Kiufupi huyu mwanamke nilitokea kumpenda sana japo na yeye mwanzo alishawahi kuniambia ananipenda pia lakini baadae nilipomuona hasomeki nikampotezea.Sasa hizi meseji zake za juzi ndio zimenifanya nitafakari juu yake kwamba huenda kuna kitu anataka kuniambia Bali anasita sita ama?.
Ushakula au bado
 
Huyo anataka mrudiane kimahusiano si vingine
 
Kukutafuta haimaniishi kuwa anakupenda. Anakukejeli tu, na wewe kwake ni spear tyre. Wewe ndiyo unamshobokea ila yeye hana muda na wewe.
Mwanamke ananayekupenda kwa dhati
1. Yupo active sana. Atakupigia simu au kukutumia meseji kila muda. Hata km yupo bize kiasi gani atakutumia meseji, haiwezi kupita hata siku moja bila kukutumia meseji au kukubipu. Huwa wanakuwa wasumbufu sana kwenye mawasiliano. Km hutafutwi habari yako iliisha kitambo
2. Hulalamika sana usipompigia simu au meseji. Lawama zinakuwa nyingi sana
3. Anakuwa na wivu sana na wewe yaani atataka wasiliane na wewe ajue upo na nani wakati huo.
4. Anakuheshimu sana kwa kuhofia kumuacha
N.B
Ushaachwa kitambo sana, hapo alikuwa anatest mitambo km mnyanga wake yupo ila hana shida na wewe kwasababu yupo anayempenda na wanawasiliana. Huenda kuna visenti anataka. Km unabisha siku moja chukua simu, utaona kuna namba moja hivi wanawasiliana sana.
Siku wakikorofishana na jamaa au akipigwa chini huko atakuja kwako kwa muda na siku akipata mtu anayempenda atakuacha.
Nilishapita huko, najua. Mwanamke ambaye hakupendi wala hana muda na wewe kwenye mawasiliano huwa anapuuzia. Ukimtumia meseji anaweza asijibu au akikujibu ni kwa mkato, huwa inachukua masaa 7 au 10 wakati mwingine. Ukimtumia meseji asubuhi anaweza kukujibu saa 10 na huwezi kuchati naye kwa dk 45. Hata akikuta missed zako hakutafuti, wewe ndiyo unakuwa bize kumtafuta kuliko yeye. Siku akikutafura basi anashida ya hela
Umeongea ya moyoni mkuuu kwa asilimia kubwa huo ni uhalisia mtupu kwa mwanamke ambaye hakupendi au kukuthamini kukutafuta apo ni kama mtego Ili ndugu yetu aingie mkenge cha msingi SILENCE IS THE BEST WEAPON
 
Unataka kuombwa hela wewe shtuka ana kituuu anataka kukumbia kitu gani shtuka wewe na endelea kukausha mpaka ikauke kabisa..
 
Back
Top Bottom