Hivi wanawake wakoje? Hebu msomeni huyu

Hivi wanawake wakoje? Hebu msomeni huyu

Habari zenu.Nianze kwa kuuliza hivi wanawake wakoje?.Hii imenitokea juzi jioni.Ni hivi nilikuwa katika mahusiano na mwanamke ni mahusiano ambayo sikuwahi kuyaelewa nikaamua kuachana nayo. Kwanini Niliamua kumuacha huyo mwanamke?.Hakuwa serious na mimi kwani meseji alikuwa hajibu na pia ukipiga alikuwa hapokei na kama meseji akijibu basi ni taratibu sana.Nikaamua kumuacha bila kuniambia chochote.Baada ya siku tatu Tu kuwa zimepita nikiwa nimepiga kimya huyu mwanamke juzi jioni SAA kumi na moja alinitafuta Kwa ujumbe mfupi wa maneno(SMS).Nilishangaa kidogo maana hajawahi kabisa kunitafutaga. Meseji ilikuwa inasema "Hello" baadae tena ikatuma meseji inasema "Samahani nimekuta missed yako".Tena Nilishangaa kwa mara nyingine maana huyu mwanamke siku hiyo sikumtafuta kabisa kama yeye alivyokuwa anadai. Baada ya kumaliza shughuli zangu ilipofika SAA mbili usiku ndipo nikamjibu hivi."Hapana Mimi Leo sijakutafuta kabisa".Kisha nikaa kimya.Baada ya muda akajibu akidai SAA kumi na moja nilimtafuta kwa kumpigia simu wakati Mimi huo muda nilikuwa bize hata kushika simu ni shida.Nikamjibu tena "Hapana" akanijibu akasema "Samahani sana labda nilipitiwa".Nikamjibu usijali.Baada ya hapo nikaa kimya tena Hadi leo sijamtafuta.Kiufupi huyu mwanamke nilitokea kumpenda sana japo na yeye mwanzo alishawahi kuniambia ananipenda pia lakini baadae nilipomuona hasomeki nikampotezea.Sasa hizi meseji zake za juzi ndio zimenifanya nitafakari juu yake kwamba huenda kuna kitu anataka kuniambia Bali anasita sita ama?.
Acha ujinga hakupendi huyo mpotezee tu
 
Kwanza kumjibu tu vile ulivomjibu ni kuonyesha unampenda ila yeye hakupendi. Mpotezee mazima futa namba zake pia songs mbele huyo siyo wako
 
Kukutafuta haimaniishi kuwa anakupenda. Anakukejeli tu, na wewe kwake ni spear tyre. Wewe ndiyo unamshobokea ila yeye hana muda na wewe.
Mwanamke ananayekupenda kwa dhati
1. Yupo active sana. Atakupigia simu au kukutumia meseji kila muda. Hata km yupo bize kiasi gani atakutumia meseji, haiwezi kupita hata siku moja bila kukutumia meseji au kukubipu. Huwa wanakuwa wasumbufu sana kwenye mawasiliano. Km hutafutwi habari yako iliisha kitambo
2. Hulalamika sana usipompigia simu au meseji. Lawama zinakuwa nyingi sana
3. Anakuwa na wivu sana na wewe yaani atataka wasiliane na wewe ajue upo na nani wakati huo.
4. Anakuheshimu sana kwa kuhofia kumuacha
N.B
Ushaachwa kitambo sana, hapo alikuwa anatest mitambo km mnyanga wake yupo ila hana shida na wewe kwasababu yupo anayempenda na wanawasiliana. Huenda kuna visenti anataka. Km unabisha siku moja chukua simu, utaona kuna namba moja hivi wanawasiliana sana.
Siku wakikorofishana na jamaa au akipigwa chini huko atakuja kwako kwa muda na siku akipata mtu anayempenda atakuacha.
Nilishapita huko, najua. Mwanamke ambaye hakupendi wala hana muda na wewe kwenye mawasiliano huwa anapuuzia. Ukimtumia meseji anaweza asijibu au akikujibu ni kwa mkato, huwa inachukua masaa 7 au 10 wakati mwingine. Ukimtumia meseji asubuhi anaweza kukujibu saa 10 na huwezi kuchati naye kwa dk 45. Hata akikuta missed zako hakutafuti, wewe ndiyo unakuwa bize kumtafuta kuliko yeye. Siku akikutafura basi anashida ya hela
Kweli kabisa
 
Habari zenu.Nianze kwa kuuliza hivi wanawake wakoje?.Hii imenitokea juzi jioni.Ni hivi nilikuwa katika mahusiano na mwanamke ni mahusiano ambayo sikuwahi kuyaelewa nikaamua kuachana nayo. Kwanini Niliamua kumuacha huyo mwanamke?.Hakuwa serious na mimi kwani meseji alikuwa hajibu na pia ukipiga alikuwa hapokei na kama meseji akijibu basi ni taratibu sana.Nikaamua kumuacha bila kuniambia chochote.Baada ya siku tatu Tu kuwa zimepita nikiwa nimepiga kimya huyu mwanamke juzi jioni SAA kumi na moja alinitafuta Kwa ujumbe mfupi wa maneno(SMS).Nilishangaa kidogo maana hajawahi kabisa kunitafutaga. Meseji ilikuwa inasema "Hello" baadae tena ikatuma meseji inasema "Samahani nimekuta missed yako".Tena Nilishangaa kwa mara nyingine maana huyu mwanamke siku hiyo sikumtafuta kabisa kama yeye alivyokuwa anadai. Baada ya kumaliza shughuli zangu ilipofika SAA mbili usiku ndipo nikamjibu hivi."Hapana Mimi Leo sijakutafuta kabisa".Kisha nikaa kimya.Baada ya muda akajibu akidai SAA kumi na moja nilimtafuta kwa kumpigia simu wakati Mimi huo muda nilikuwa bize hata kushika simu ni shida.Nikamjibu tena "Hapana" akanijibu akasema "Samahani sana labda nilipitiwa".Nikamjibu usijali.Baada ya hapo nikaa kimya tena Hadi leo sijamtafuta.Kiufupi huyu mwanamke nilitokea kumpenda sana japo na yeye mwanzo alishawahi kuniambia ananipenda pia lakini baadae nilipomuona hasomeki nikampotezea.Sasa hizi meseji zake za juzi ndio zimenifanya nitafakari juu yake kwamba huenda kuna kitu anataka kuniambia Bali anasita sita ama?.
Mbona km wte hamjielewi kwa pmj
 
Pia fuata ushauri wa joannah
 
Ukiona mwanamke hakutafuti pigia mstari kua hupendwi na hana uhitaji na wewe kwq namna yoyote ile.

Mwanamke akiwa anakuhitaji atakusumbua tu na ni wasumbufu haswa kuliko sisi wanaume. Wakipenda hawana uvumilivu texts kila muda.

Huyo wako kuna mwewe ashambeba kaa kwa kutulia, yaani text 2 tu unamuwaza siku tatu. Akikupigia si utaenda kutoq mahali wewe.
,[emoji23]
 
Kwa maelezo yako, inaonekana huyo mwanamke ulimpenda na bado unampenda hadi sasa, tatizo ni mambo yake haukuyaelewa na ndio sababu ulichukua maamuzi ya kukaa kimya (ingawa nina uhakika moyoni mwako alikua bado hajakutoka).
Sasa........
Kwasisi tunao zijua mbinu za kivita ni kwamba, huyo dem wakati unamtongoza nayeye alikua ana mtu wake mwingine aliekua anampenda. Tena kimuonekano dem alikua anampenda sana jamaa kuliko jamaa alivyo mpenda dem na ndio maana dem alikufanya wewe kama spea tairi kwasababu nikama walikua wanazinguana sana (jamaa alikua anamuumiza sana dem).
Kwahiyo inavyo onekana huyo dem nikama amesha mwagwa na mshkaji, then anajifanya saizi kama kakosea namba ili apime kina cha maji.
Kwakifupi dem hana upendo na wewe zaidi anatikisa kibiriti tu ili apate pakujikinga mvua wakati akiendelea kumsikilizia jamaa yako.
 
Achana naye ,mzushi huyo mambo mengi kama unga wa ngano...Mwanamke hakai mbali na simu kama anakupenda.
Hapo mnampa mwanzisha thread wakati mgumu sana. Yeye alitaka watu wamwambie huyo mwanamke anampenda sana sana na hawezi kuishi bila yeye, alikuwa hajibu msg kwa sababu alikuwa anajivunga tu. Anataka tumwambie hizo ni dalili za mwanamke aliyekufa kimapenzi kwake! Dogo ni mgeni wa mapenzi na anashindwa kujui kuwa huyo mwanamke hana habari naye na hata hizi msg aliandika baada ya kuona bwege limepiga kimya.
 
Mwanamke habembelezwagi , ndio unakwama hapo , mwanamke anapendwa kama haoneshi ushirikiano basi unamuacha , while wanaume hawabembelezwi ila wanapewa notifications kuwa wanapendwa ukipigia anareply chapu, ukimtext hata kama hareply saihiyo hiyo haipiti siku anareply kwa kucall au message anaona hujibu message , anapiga direct .
Mahusiano yanajengwa na nguvu zote pande zote . Ujue tu hilo. Ukiona pande moja inawasha taa ingine haijitahidi kwa lolote taa isizime ni mbaya . Mtu anakaa izime nihatari
Umenisanuaaa.
 
Back
Top Bottom