Hivi wanawake wakoje? Hebu msomeni huyu

Hivi wanawake wakoje? Hebu msomeni huyu

Sasa juzi kanitafutia nn
Kukutafuta haimaniishi kuwa anakupenda. Anakukejeli tu, na wewe kwake ni spear tyre. Wewe ndiyo unamshobokea ila yeye hana muda na wewe.
Mwanamke ananayekupenda kwa dhati
1. Yupo active sana. Atakupigia simu au kukutumia meseji kila muda. Hata km yupo bize kiasi gani atakutumia meseji, haiwezi kupita hata siku moja bila kukutumia meseji au kukubipu. Huwa wanakuwa wasumbufu sana kwenye mawasiliano. Km hutafutwi habari yako iliisha kitambo
2. Hulalamika sana usipompigia simu au meseji. Lawama zinakuwa nyingi sana
3. Anakuwa na wivu sana na wewe yaani atataka wasiliane na wewe ajue upo na nani wakati huo.
4. Anakuheshimu sana kwa kuhofia kumuacha
N.B
Ushaachwa kitambo sana, hapo alikuwa anatest mitambo km mnyanga wake yupo ila hana shida na wewe kwasababu yupo anayempenda na wanawasiliana. Huenda kuna visenti anataka. Km unabisha siku moja chukua simu, utaona kuna namba moja hivi wanawasiliana sana.
Siku wakikorofishana na jamaa au akipigwa chini huko atakuja kwako kwa muda na siku akipata mtu anayempenda atakuacha.
Nilishapita huko, najua. Mwanamke ambaye hakupendi wala hana muda na wewe kwenye mawasiliano huwa anapuuzia. Ukimtumia meseji anaweza asijibu au akikujibu ni kwa mkato, huwa inachukua masaa 7 au 10 wakati mwingine. Ukimtumia meseji asubuhi anaweza kukujibu saa 10 na huwezi kuchati naye kwa dk 45. Hata akikuta missed zako hakutafuti, wewe ndiyo unakuwa bize kumtafuta kuliko yeye. Siku akikutafura basi anashida ya hela
 
Habari zenu.Nianze kwa kuuliza hivi wanawake wakoje?.Hii imenitokea juzi jioni.Ni hivi nilikuwa katika mahusiano na mwanamke ni mahusiano ambayo sikuwahi kuyaelewa nikaamua kuachana nayo. Kwanini Niliamua kumuacha huyo mwanamke?.Hakuwa serious na mimi kwani meseji alikuwa hajibu na pia ukipiga alikuwa hapokei na kama meseji akijibu basi ni taratibu sana.Nikaamua kumuacha bila kuniambia chochote.Baada ya siku tatu Tu kuwa zimepita nikiwa nimepiga kimya huyu mwanamke juzi jioni SAA kumi na moja alinitafuta Kwa ujumbe mfupi wa maneno(SMS).Nilishangaa kidogo maana hajawahi kabisa kunitafutaga. Meseji ilikuwa inasema "Hello" baadae tena ikatuma meseji inasema "Samahani nimekuta missed yako".Tena Nilishangaa kwa mara nyingine maana huyu mwanamke siku hiyo sikumtafuta kabisa kama yeye alivyokuwa anadai. Baada ya kumaliza shughuli zangu ilipofika SAA mbili usiku ndipo nikamjibu hivi."Hapana Mimi Leo sijakutafuta kabisa".Kisha nikaa kimya.Baada ya muda akajibu akidai SAA kumi na moja nilimtafuta kwa kumpigia simu wakati Mimi huo muda nilikuwa bize hata kushika simu ni shida.Nikamjibu tena "Hapana" akanijibu akasema "Samahani sana labda nilipitiwa".Nikamjibu usijali.Baada ya hapo nikaa kimya tena Hadi leo sijamtafuta.Kiufupi huyu mwanamke nilitokea kumpenda sana japo na yeye mwanzo alishawahi kuniambia ananipenda pia lakini baadae nilipomuona hasomeki nikampotezea.Sasa hizi meseji zake za juzi ndio zimenifanya nitafakari juu yake kwamba huenda kuna kitu anataka kuniambia Bali anasita sita ama?.
Shida nini?
Punguza ufiliipino
Tombaaaaa

#YNWA
 
Back
Top Bottom