Hivi Wanawake wa Kizungu wana mvuto gani?

Hivi Wanawake wa Kizungu wana mvuto gani?

Binafsi huwa nashangaa sana inakuwaje kuwaje mtu anaacha "vyombo" vizuri na vyenye ngozi nzuri anaenda kwa mzungu ambaye ngozi yake haina hata mvuto?

Kwa wanawake ukweli unaeleweka huwa hawafatagi mapenzi wanafata hela tu.

Nilimuulizaga jamaa angu hapa Iringa ambae ni memba humu ndani hivi hukuwaona Wanawake wa kiafrika? jibu nilitaka nije kuwa na watoto wazuri.
Unamfahamu kim kardashian au khloe kardashian ?
 
Hawapigi mizinga

Wakipenda,ni kweli wamependa

Ngozi sidhani kama ni big deal,wapo wanaovutia,,

Yule madam raisi ya Croatia naye havutii??
Hapo umenena; mizinga no
alafu huyu mleta maada hajawahi kuona wazungu wazuri mpaka ukiwatazama akili inahama.

Ila pia nao wana karaha kao, hawakawii kumaliza miezi miwili hujapewa papuchi.
 
Binafsi huwa nashangaa sana inakuwaje kuwaje mtu anaacha "vyombo" vizuri na vyenye ngozi nzuri anaenda kwa mzungu ambaye ngozi yake haina hata mvuto?

Kwa wanawake ukweli unaeleweka huwa hawafatagi mapenzi wanafata hela tu.

Nilimuulizaga jamaa angu hapa Iringa ambae ni memba humu ndani hivi hukuwaona Wanawake wa kiafrika? jibu nilitaka nije kuwa na watoto wazuri.
wazuriii sana me binafsi nawatamani kinoma yaani
 
Kuna wale wanaitwa 'ebony', yaani wana kamchanganyiko flani ka kiafrica na kizungu, wanavtuia sana, ila hawa weupe peee hawajawahi kunivutia kwa kweli
 
Binafsi huwa nashangaa sana inakuwaje kuwaje mtu anaacha "vyombo" vizuri na vyenye ngozi nzuri anaenda kwa mzungu ambaye ngozi yake haina hata mvuto?

Kwa wanawake ukweli unaeleweka huwa hawafatagi mapenzi wanafata hela tu.

Nilimuulizaga jamaa angu hapa Iringa ambae ni memba humu ndani hivi hukuwaona Wanawake wa kiafrika? jibu nilitaka nije kuwa na watoto wazuri.
Kwanini dada zenu wananichubua ili wawe weupe. Mzungu unapata kitu pure sio mikorogo ni weupe . waafrika ni Wazuri Ila hawajiamini kabisa kama ni Wazuri kwahiyo wanaongeza mikorogo ili waonekane weupe. Mademu wengi ukiwaambia wamekuwa weusi wanachukia na ukiwaambia siku Hizi umekuwa mweupe anakuona wa maana. Nyeusi ni ishara ya uchafu na nyeupe ni ishara ya usafi. Sasa sijui tutasimama wapi
 
Ubaya Wao in kupenda mtandao pendwa kupitiliza .

Eti nzungu ukimkatalia mtandao pendwa kukuacha ni sekunde. Kuna mkaka alitupa story na wakaachana


Watakuwa ni wachafu sana, ila kama unampenda oa.maisha yako nani Wa kukuzuia?
 
Wanawake wa kizungu wa baridi sana kwa sisi tuliozea vya moto vya baridi hatuviwezi yaani uko ndani kwa bibi kama vile uko nje hamna tofauti babu unaongezea spidi kumpeleka ndani na nje lakini hamna kitu...wakubwa tumeelewana kwa hili[emoji1787]
 
Back
Top Bottom