Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,614
Mmetukariri ngozi nyeusi kuwa lazima mtudanganye ndio mtunase,.sio hivyo wengine licha ya kuwa na rangi za kunguru tunapenda kusema na kuambiwa ukweli vilevile...Nyie vichwa vibovu tukiwaambia ndo tumeharibu,ndo maana huwa tunawadanganya tunawaoa halafu hatuwawowi[emoji23] [emoji23] [emoji23]