Hivi Wanawake wa Kizungu wana mvuto gani?

Hivi Wanawake wa Kizungu wana mvuto gani?

Dunia ya leo sio ya jana tena, Arusha mtazamo ulikuwa watu wanadhani wanadate wazungu kwa ajili ya kupiga pesa tu wazee sio leo tena

kupata mtoto mwenye asili mbil ni faida moja kubwa sijui kesho hapa patakuwaje atakuwa na mahali salama pa kuishi exposure ya huku na kule sio kitu kidogo

ukipata msichana wa kigeni mwenye akili mkaunganisha dots vizuri uzoefu wako wa hapa na uzoefu wake wa kule mnaweza kufanya mambo mengi positive.

Point ni akili na lengo la mahusiano mmbongo akiwa kilaza hapana na mzungu akiwa kilaza pia achana naye
 
Raha ya wazungu mambo yote ya kwenye TV mnafanya wenyewe utazan mnaigiza muvi vile

Sasa wewe nenda kacheze (pilo faiting) na dem ngosha uone
 
Huyo jamaa yako ana matatizo ya akili....kwani watu weusi hawazai watoto wazuri? Kwa kujibu swali lako ni kwamba mapenzi hayana rangi, dini, kabila, wala umbo la mtu.....roho ikipenda imependa tu na mapenzi ya watu hayaingiliwi. Wewe kama unaona mzungu hafai wengine wanawatamani tena kwa udi na uvumba….na pia kuna wengine hawapendi kuwa na wanawake waafrika japo nao ni waafrika.
kabisa ..mkuu""umedadavua vyema haswaaa
 
Binafsi huwa nashangaa sana inakuwaje kuwaje mtu anaacha "vyombo" vizuri na vyenye ngozi nzuri anaenda kwa mzungu ambaye ngozi yake haina hata mvuto?

Kwa wanawake ukweli unaeleweka huwa hawafatagi mapenzi wanafata hela tu.

Nilimuulizaga jamaa angu hapa Iringa ambae ni memba humu ndani hivi hukuwaona Wanawake wa kiafrika? jibu nilitaka nije kuwa na watoto wazuri.


Hata Wazungu pia husema hivyo hivyo kuhusu Wanaume/Wanawake wa Kiafrika/weusi!
 
Mchagua jembe sio mkulima.wewe kama mashine iko vizuri kitendea kazi chochote utakachokutana nacho utapiga kazi ili mradi kimekidhi vigezo vyakufanya iyo kazi.Anza kudate na dada mmoja wakizungu alafu urudi kutupa mrejesho.
 
Back
Top Bottom