Hivi wanawake nyinyi mna nini?

Hivi wanawake nyinyi mna nini?

Mara nyingi watoto ndio wanaorithi mali za mama, na sio mume. Hata mimi nikifa ntakachoacha ni mali ya wanangu aisee.
 
Sasa mnatuchanganya nyie watu mwishowe tufe mabachela, kila siku mnazi


ukienda mkoa wa Mara Musoma Mjini nyumba nyingi au asilimia 98% wanawake ndo wenyenyumba ukiuliza wanakwambia waume zao waliishatangulia mbele za haki, ata Wachaga nao hinyo hivyo.
 
Wanawake wakishaona umate umate upo atakuwekea midawa ya kukuua polepole na pia tafiti zinasema w/me ufa mapema kuliko w/ke! Nenda magomeni na kariakoo nyumba zote za kina mama!
 
Tena kwa wanawake wa kirangi,baba ukioa na kujenga kifo hakipo mbali take care.

we umefufuka kutoka kuzimu nini?
ulisikia wapi mrangi kaua mme,hovyooooo na ukabila
umekujaa,jadili mada na sio kuingiza kabila mxiuuuuuuuuuuuuuuu!!
 
Mara nyingi watoto ndio wanaorithi mali za mama, na sio mume. Hata mimi nikifa ntakachoacha ni mali ya wanangu aisee.

..............
Kumbe ni Mara nyingi na sio kwamba ndo utaratbu.....so jamaa akirithi msimshangae
..
 
we umefufuka kutoka kuzimu nini? ulisikia wapi mrangi kaua mme,hovyooooo na ukabila umekujaa,jadili mada na sio kuingiza kabila mxiuuuuuuuuuuuuuuu!!
Watuu na makabila yao!
Ila wanawake tuna shida,hatuna jema kila tunalofanya watu wana judge! Hah!!
 
Sasa unakuta mwanaume mmoja anamiliki wanawake watano unafikiri hizo nguvu anazitoa wapi....?

Siku hizi idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume hivyo kufanya wanawake 5 wamiliki mwanaume 1 .....!:rip:
 
Mara nyingi watoto ndio wanaorithi mali za mama, na sio mume. Hata mimi nikifa ntakachoacha ni mali ya wanangu aisee.

Kweli ndoa ndoana ...........!
Kufa hufi lakini cha moto utakiona .............!:love:
 
wamachame, nao mchezo ndo huo, wengine ni wajita - kama huamini nenda msoma kuna mtaa mmoja wenye nyumba ni wanawake tu.

Hapa town kuna mama mmachame alishawaua wanaume 2; sasa anamiliki zile kampuni na majumba walojenga hao wababa.

Wanaume muombe sana sana, Mpanda mjini kuna ki mtaa wanawake wote ni wajane, kisa waume zao walikuwa na mali, ubinafsi ukatawala wakawamuvuzisha waume zao kuzimu.

Mungu aingilie kati jamani.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom