Hivi wanawake nyinyi mna nini?

Hivi wanawake nyinyi mna nini?

...hapa kuna AVATAR na posts tu....na nimesema napenda posts na avatar inaendana na post....as long as zinakuwakilisha wewe hata wewe nakupenda automatically......🙂

EHEHHEHEHHEHHE ngoja kiboko yako aje!
 
Poleee naona chupa ya chai ya bamsapu wako inapoza haraka haraka. Hata hivyo bado zipo chupa original zinazopitisha mpaka siku ya pili yake.

haaahaa ungekua original ucngeanza kujitangaza we ni walewal tu mtabaki kufa mtuachie nyumba na magari wanaume wenzenu waendelee kufaid jasho lenu
 
Hata tukijenga, hatufi haraka, utakufa na kutuacha.... poleeeeeeeee we!

Wanaume wanatuombea tufe haraka, ukweli ni kwamba hawatupendi basi tu hawana uwezo wa kufanya shughuli tuzifanyazo sisi la sivyo wangeshatufukuza duniani kwa roho zao mbaya
 
haaahaa ungekua original ucngeanza kujitangaza we ni walewal tu mtabaki kufa mtuachie nyumba na magari wanaume wenzenu waendelee kufaid jasho lenu
Hao wanaume watakaofaidi watatoka wapi wakati umesema tutakufa wote. Au unakijua kitakachowauwa nini? Wanaume msiguse hapa jamani mtaondoka kabla ya wakati. Hahahahahahaaaaaaaaaaaaa
 
Nimejiuliza sana kwanini miji mingi Tanzania ukikuta nyumba mmiliki ni mama basi imelithiwa kutoka kwa marehemu mumewe,sijabahatika kukuta nyumba imelithiwa na Baba,inamaana wanawake awajengi ili na sisi tulithi au mali ya baba ni ya wote na yamama yake peke yake
Naomba majibu
CC madame B,FF,ASHaDii,rala 1,mamndenyi
"Vox popoli vox dei"

Acha mawazo ya kimaskini hayoo, mtegemea cha ndugu hufa maskini waza kujenga yako ili watoto wako warithi sio unawaza mkeo akaliwe tigo apewe hela ajenge afe nawe urithi gorofa, nasikitika binti yangu atapata mume wa aina gani kama huko duniani mawazo ya wanaume ndo yako kama huyu hapa.
Nature mwenye mabavu na mtafutaji ni mwanume sasa mwanamke hana mabavu kama ya mwanaume akitafuta na kujenga utakufa wewe kwanza kwa kihoro ukihisi unanyanyaswa kumbe wala na utaliwacha hilo gorofa wafaidi wanaume wengine, my take: jitume jifarague tafuta pesa jenga lako shauri yako we subiri kurithi tuu
wanaume wa mmu hebu msaidieni huyu au nanyie mnamsupport mawazo yake ya kurithi nyumba ya mwanamke looh aibu hii kusikia kwakweli.
 
Sasa mnatuchanganya nyie watu mwishowe tufe mabachela, kila siku mnazidi kuongeza makabila tu ya kuogopwa kuoa.Leo naona mmeongeza Wajita na wanyakyusa. Sasa tuoe kabila gani? Mara wamachame, mara wanyiramba na wanyaturu, mara warangi, mara wahaya sijui wanatabia hii mara wanyamwezi wanakulisha limbwata tuoe kabila gani sasa???????????
 
SI NDIO MI NASHANGAA!
hv kuna watu bado wanajengewa nyumba na kuingia kukaa akiwa hajachangai chcohote kweli!
ILA hebu tuiangalie hiv
NIKINUNUA MCHELE KILA SIKU NA KAROTI AF MWANAUME AKAPELEKA HELA KUNUNUA LORI LA MCHANGA AKIRUDI ANAKULA ULE MCHELE NINAKUWA SIJACHANGIA KUJENGA!?
yani hii mada ameileta kimasikhara sikhara lakin inafikirisha NA KUKERA sana!

UKINIPA HELA YA MAFUNDI mi NIKAENDA KUSHINDA SITE KUSIMAMIA MAFUNDI WASICHAKACHUE SEMENTI,bado sijachangia kujenga hiyo nyumba kiasi ukifa iwe ni nongwa kuirithi?

Punguza hasira mbona ikiwa kinyume chake inakua yako peke yako
"Vox popoli vox dei"
 
Sasa mnatuchanganya nyie watu mwishowe tufe mabachela, kila siku mnazidi kuongeza makabila tu ya kuogopwa kuoa.Leo naona mmeongeza Wajita na wanyakyusa. Sasa tuoe kabila gani? Mara wamachame, mara wanyiramba na wanyaturu, mara warangi, mara wahaya sijui wanatabia hii mara wanyamwezi wanakulisha limbwata tuoe kabila gani sasa???????????

Ili swala halina kabila kwa uzoezi wangu mikoa mingi wanawake wamerithi nyumba kuanzia kusini mpaka kaskazin,mashariki mpaka magharibi
"Vox popoli vox dei"
 
Acha mawazo ya kimaskini hayoo, mtegemea cha ndugu hufa maskini waza kujenga yako ili watoto wako warithi sio unawaza mkeo akaliwe tigo apewe hela ajenge afe nawe urithi gorofa, nasikitika binti yangu atapata mume wa aina gani kama huko duniani mawazo ya wanaume ndo yako kama huyu hapa.
Nature mwenye mabavu na mtafutaji ni mwanume sasa mwanamke hana mabavu kama ya mwanaume akitafuta na kujenga utakufa wewe kwanza kwa kihoro ukihisi unanyanyaswa kumbe wala na utaliwacha hilo gorofa wafaidi wanaume wengine, my take: jitume jifarague tafuta pesa jenga lako shauri yako we subiri kurithi tuu
wanaume wa mmu hebu msaidieni huyu au nanyie mnamsupport mawazo yake ya kurithi nyumba ya mwanamke looh aibu hii kusikia kwakweli.

Kukaa kimya ni bora kuliko kuchafua uzi,elewa mada inasema,nimeuliza kwanini kuna hali hii katika jamii yetu-KUWA NA BUSARA
"Vox popoli vox dei"
 
Adharusi jamani, khaaa!
Umeshaambiwa mwanamke ni pambo la nyumba.
Wewe jenga, nije kuipamba nyumba yako.
Ukifa nikupambe.

Madame B haya nimekuelewa kidogo,kwahiyo wanawake ni PAMBIO
"Vox popoli vox dei"
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh!! Mamndenyi ndio site zako nini huko pande za Mbeya??? Maana umehit mle mle!! Ni kama miaka 10 ilopita tangu niondoke pande hizo na ndio zilikuwa pande maarufu kwa misiba. Nilikuwa naishi Jacaranda hapo
 
ukweli ni kwamba ukiachana na mwanaume kuuawa na mwanamke kama baadhi ya makabila Tz yanavyofanya, Wanaume tunaumiza sana vichwa katika utafutaji wa kazi, imagine namaliza chuo nawaza kupata kazi nitapataje, Mwanamke anawaza kuolewa umri umekwenda(japo siyo wote), Mwanaume anaanza kujipanga kimaisha anategemewa na familia kila kitu, kaka sina hiki, kaka mama anaumwa, Mwanamke yeye anaangaika na familia yake, kiufupi sayansi imethibitisha wanaume hufa mapema kutokana na Msongo wa Mawazo kuliko wanawake.
 
Pambio ndo nini nawe, nimesema pambo....mweehh!

Kiswahili ni lugha yetu Madame B,nimenyambulisha msamiati Pambo na kupata Pambio,usijali lakini
"Vox popoli vox dei"
 
Jamani ukweli wanatuua, ukishaonekana mambo safi na akaona una mahusiano na wanawake wengine wa nje ujue roho yako iko mikononi mwake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom