wamachame, nao mchezo ndo huo, wengine ni wajita - kama huamini nenda msoma kuna mtaa mmoja wenye nyumba ni wanawake tu.
Hapa town kuna mama mmachame alishawaua wanaume 2; sasa anamiliki zile kampuni na majumba walojenga hao wababa.
Poleee naona chupa ya chai ya bamsapu wako inapoza haraka haraka. Hata hivyo bado zipo chupa original zinazopitisha mpaka siku ya pili yake.hee hujui wanaume ni sawa na barafu ilioko Juan?wanakufa hovyo hawa kama kuku wa kizungu wee waone tu na dushelele zao ambazo cku hizi zimeathiriwa na chips mayai basi akipiga kimoja tu na povu likatoka anajua kapiz lazma wanawake warithi kwa sababu mwanamke hafi hovyo na pia mwanamke ni mtu makini siku zote
Nini sababu ya kisayansi kwa hili.
Nimejiuliza sana kwanini miji mingi Tanzania ukikuta nyumba mmiliki ni mama basi imelithiwa kutoka kwa marehemu mumewe,sijabahatika kukuta nyumba imelithiwa na Baba,inamaana wanawake awajengi ili na sisi tulithi au mali ya baba ni ya wote na yamama yake peke yake
Naomba majibu
CC madame B,FF,ASHaDii,rala 1,mamndenyi
"Vox popoli vox dei"
mali za ndoa ni za wote wawili, labda kwa kukuongezea hii inaonesha wanaume wanawahi kufa kuliko wake zao ndio maana wanawake wajane ni wengi zaidi na hivyo kurithi mali kuliko wanaume.
Kuwa mwanamke ni tabu sana, hasa dunia hii ya tatu.
Nimejiuliza sana kwanini miji mingi Tanzania ukikuta nyumba mmiliki ni mama basi imelithiwa kutoka kwa marehemu mumewe,sijabahatika kukuta nyumba imelithiwa na Baba,inamaana wanawake awajengi ili na sisi tulithi au mali ya baba ni ya wote na yamama yake peke yake
Naomba majibu
CC madame B,FF,ASHaDii,rala 1,mamndenyi
"Vox popoli vox dei"
unaonaje tubadilishane basi!?
Tena subiri ukiwa na mimba changa, mwezi 0 hadi 3 na mwezi wa 9
enheee ndio aje tubadilshane!
manake nahs anaona tunafaidi saaaana!
Wakati na kuhemelea pilipili hoho na karoti tunasaidia siku hizi.
Ukute hata mafundi tunasaidia kulipia hela zetu za mchezo